Hongereni Simba kwa kupata ushindi mnono ugenini

Utajiri wa michongo! Umeshawahi kujiuliza kwa nini Yanga ilichoka sana kipindi Mwendazake na sasa hivi ina pesa za kusajili na kununua mechi?
Yanga alieiharibu ni Manji,so from there wakaishi na mfumo huo huo hadi leo

Ni Kama mwanamke ambae hawezi enda out bila make up
 
Wewe ni mchochezi
 
Tatizo hawako consistency,
Utakuja kushangaa tarehe 23/10 wanafungwa na yanga !

Huwa inaudhi! [emoji205]
 
HAPA NDIPO TUNAPOKOSEA WANAYANGA
 
Uwezi kuwa shabiki wa yanga wewe!! Hapo umesema timu imefanya usajili mkubwa halafu unasema tena hers out! Iv huwo usajili mkubwa kafanya nani!? Umesahau ya miaka 4 iliyopita
@moi wa kitaa out nimegundua wewe ni moja kati ya viongozi wanaonufaika na timu yetu

Ondoka zako bhn, usituletee fitina klabuni
 
@moi wa kitaa out nimegundua wewe ni moja kati ya viongozi wanaonufaika na timu yetu

Ondoka zako bhn, usituletee fitina klabuni
Hahahaha mkuu mi kapuku tu kutoka morogoro

Lakin ukweli usemwe nyie mashabiki wa simba mnataka kutuchinganisha tu
 
Tatizo hawako consistency,
Utakuja kushangaa tarehe 23/10 wanafungwa na yanga !

Huwa inaudhi! [emoji205]
Sasa kuifunga simba ndo nini yanga mwenzangu?? Si unaona uwendawazimu wetu yanga??
 
Hahahaha mkuu mi kapuku tu kutoka morogoro

Lakin ukweli usemwe nyie mashabiki wa simba mnataka kutuchinganisha tu
Nani simba sasa?? We jamaa acha mambo yako ya ajabu??
Kwanza nyie wakulima wa morogoro ndio mnaolangua mchele nchini, fuatilia suala la mchele mpira haujui,
Na Dar USIJE utaturudisha nyuma sisi kama mashabiki wenye msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…