Hongereni Simba kwa kupata ushindi mnono ugenini

Hongereni Simba kwa kupata ushindi mnono ugenini

Utajiri wa michongo! Umeshawahi kujiuliza kwa nini Yanga ilichoka sana kipindi Mwendazake na sasa hivi ina pesa za kusajili na kununua mechi?
Yanga alieiharibu ni Manji,so from there wakaishi na mfumo huo huo hadi leo

Ni Kama mwanamke ambae hawezi enda out bila make up
 
Kuna refa mmoja wa ligi kuu nafahamiana naye (namuhifadhi kwa jina kuepusha uzi kufungiwa) na huwa nawasiliana nae sana, kiukweli ananimbia uchafu mwingi unaofanywa na kigogo mmoja wa timu yetu kwa kumhonga refa huyo kila achezeshapo mechi ya yanga! [emoji17][emoji17]
SIKUAMINI MPAKA AKANIONESHA SMS ZA UCHAFU NA MIAMALA YA PESA!View attachment 2382131
Wewe ni mchochezi
 
Tatizo hawako consistency,
Utakuja kushangaa tarehe 23/10 wanafungwa na yanga !

Huwa inaudhi! [emoji205]
 
Unataka Hers afanye nini zaidi ya kutusajilia wachezaji?
Unataka hers akacheze? Unataka Nabi afanye nini zaidi ya kile kikosi na ile mbinu unataka nini tena

Kweli kwa mech moja unakimbilia kusema et hers out nabi out iv kweli tulitembeza bakuli miaka 4 full vilio

Leo hii timu inakwenda inalipa mshahara inalipa posho na kila kitu coz ya huyo Hers

Hers yupo kwa ajili ya Gsm

Wawekezaji wengine wanakuja coz timu inafanya vzuri ndani eg sportpesa na azam

Mi ningekuona kma kweli shabiki wa yanga ungetoa ushauri kuliko kuanza kusema fulan atoke!
Unakuja kusema et yanga inatoa rushwa kwa refa sasa point ipi hapa


Kwahiyo tulivyowafunga wale Zalan tulionga?
HAPA NDIPO TUNAPOKOSEA WANAYANGA
 
Uwezi kuwa shabiki wa yanga wewe!! Hapo umesema timu imefanya usajili mkubwa halafu unasema tena hers out! Iv huwo usajili mkubwa kafanya nani!? Umesahau ya miaka 4 iliyopita
@moi wa kitaa out nimegundua wewe ni moja kati ya viongozi wanaonufaika na timu yetu

Ondoka zako bhn, usituletee fitina klabuni
 
@moi wa kitaa out nimegundua wewe ni moja kati ya viongozi wanaonufaika na timu yetu

Ondoka zako bhn, usituletee fitina klabuni
Hahahaha mkuu mi kapuku tu kutoka morogoro

Lakin ukweli usemwe nyie mashabiki wa simba mnataka kutuchinganisha tu
 
Tatizo hawako consistency,
Utakuja kushangaa tarehe 23/10 wanafungwa na yanga !

Huwa inaudhi! [emoji205]
Sasa kuifunga simba ndo nini yanga mwenzangu?? Si unaona uwendawazimu wetu yanga??
 
Hahahaha mkuu mi kapuku tu kutoka morogoro

Lakin ukweli usemwe nyie mashabiki wa simba mnataka kutuchinganisha tu
Nani simba sasa?? We jamaa acha mambo yako ya ajabu??
Kwanza nyie wakulima wa morogoro ndio mnaolangua mchele nchini, fuatilia suala la mchele mpira haujui,
Na Dar USIJE utaturudisha nyuma sisi kama mashabiki wenye msimamo
 
Back
Top Bottom