Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Yanga alieiharibu ni Manji,so from there wakaishi na mfumo huo huo hadi leoUtajiri wa michongo! Umeshawahi kujiuliza kwa nini Yanga ilichoka sana kipindi Mwendazake na sasa hivi ina pesa za kusajili na kununua mechi?
Ni Kama mwanamke ambae hawezi enda out bila make up