Julius Mtatiro wewe ni kijana shupavu sana. Ila wasiwasi ondoa, maana tunakwenda kuunda serikali ya Ukawa Octoba mwaka huu. Na usidhani utumishi wako ni muhimu katika ubunge tuu, hapana ziko nafasi nyingi za utendaji zinahitaji vijana waliopambana kwa nguvu zao zote kuondoa mfumo huu dhalimu.
Kwa vile nafasi za wakuu wa mikoa ni za kiserikali lakini CCM wakaingiza ukada ndani yake, basi lazima siku moja tuu baada ya Ukawa kuingia madarakani lazima hao makada waondoke kabisa.
Kwa ushupavu wako napendekeza kwa Wakubwa, Said Mecky Sadick ajiandae kukukabidhi ofisi miezi miwili ijayo kisha Mbunge wetu wa Segerea na wengine watakuwa wanaripoti kwako tujenge nchi.
Mtatiro, u have political maturity. But please don't say u will not contents in any constituency, we need you mjengoni. Consult with UKAWA leadership ili wakupe jimbo. This is the feedback kwa wapenda maendeleo wote.
Daaah nataman kulia kwa jins ulivyo na moyo wa ushujaa aiseee ckujui kaka ila nimekupenda sanaaa. Ee Mwenyezi Mungu akujalie nguv na moyo huo hakika kila ufanyalo litafanikiwa una moyo cjui wa kivp yan daah!!!
ndugu yangu Mtatiro Wewe ni mwanasiasa mkubwa xn ktk taifa hli, nakuona kama potential au hazina muhimu sana, 2020 natumaini tutakutana mjengoni, kwani miaka 5 ni mifupi sana, hongera sana na nimefurahi kwa kuwa wa kwanza kuonyesha ukomavu wako kisiasa, tuko pamoja sana comrade
Hongera sana kaka, Mungu akuongezee Hekima Busara zilizo tukuka, wana segerea tulikusubiri kwa Hamu kubwa ila kama Ukawa wameamuwa Chadema iongoze segerea hatuna budi kuungana na chadema maana kikubwa zaidi tuna taka mabadiliko