JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,957
Mkuu nimekudharau sana, nilikuwa nakuheshimu. Wewe ukiwa kiongozi wa chama huu haukuwa wakati wa kusema haya maana taarifa si rasimi na muda wake haujafika, je maamuzi yakitenguliwa kabla ya kutangazwa, kama lengo lako ni kuwapa moyo watakaokatwa kionevu umepotea. Najua wewe umekatwa lakini umeahidiwa kitu, au wamekuahidi kuwa mwenyekiti wa CUF??