mkuu nimekudharau sana, nilikuwa nakuheshimu. Wewe ukiwa kiongozi wa chama huu haukuwa wakati wa kusema haya maana taarifa si rasimi na muda wake haujafika, je maamuzi yakitenguliwa kabla ya kutangazwa, kama lengo lako ni kuwapa moyo watakaokatwa kionevu umepotea. Najua wewe umekatwa lakini umeahidiwa kitu, au wamekuahidi kuwa mwenyekiti wa CUF??
Mkuu Mtatiro umeonyesha ukomavu wa hali ya juu. Nadhani CUF wakukabidhi kijiti cha Lipumba.