Hujasikia kuwa eti mgombea anae ongoza kwenye mbio anajifanya alipigwa risasiMpaka sasa sijasikia siasa za majitaka wala kuongelea maisha binafsi ya wagombea.
Nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2010 mgombea mmoja aliambiwa eti kaiba mke wa mtu.
Uchaguzi wa 2015 mwingine aliambiwa eti ni mgonjwa.
Hongereni vyama vyote kwa kufanya kampeni za kisayansi.
Tunatumaini hii hali itaendelea kuwa shwari Hadi mwisho wa Kampeni.
Hiyo hawaioni kama ni udhalilishaji watasema wamemsifia na tume na mamikwara yake yooote itakaa kimya kama ilivyokaa kimya kwenye "mashavu!!"Hujasikia tu....
Kuna baadhi ya "inzi wa kijani", wanamwita mgombea wa upande ule kuwa ni "mlemavu".....
It's too sad kusikia binadamu wa kawaida kuwa na akili za namna hii...!
Mpaka sasa sijasikia siasa za majitaka wala kuongelea maisha binafsi ya wagombea.
Nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2010 mgombea mmoja aliambiwa eti kaiba mke wa mtu.
Hongera ni kwa vyama vya upinzani manake wao ndio walikuwa wanatupiwa madongo.
Uchaguzi wa 2015 mwingine aliambiwa eti ni mgonjwa.
Hongereni vyama vyote kwa kufanya kampeni za kisayansi.
Tunatumaini hii hali itaendelea kuwa shwari Hadi mwisho wa Kampeni.