TRC wanaruhusuje huu ujinga?Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi.
Pamoja na huduma zenu nzuri kuna kitu mnakifumbia macho ila sio ustaarabu na inaondoa starehe ya kupanda treni kwa watu wanaopenda utulivu na amani. Ni hii tabia ya baadhi ya abiria kupanda na yale maspika makubwa sijui ndio yanaitwa Bluetooth.
Hawa watu hawana ustaarabu hata kidogo . Wanafungulia miziki yao kwa sauti kama wako bar au wako kwenye vyumba vyao huko wanakoishi. Mbaya zaidi unaweza kuta wako zaidi ya mmoja kila mtu na muzii wake,huyu singeli huyu Bolingo yaani ni vurugu kama kwemye zile nyumba za kupanga uswahilini.
Tabia hii imekithiri sana hasa ukisafiri na kundi la watu wanaotoka au wanaokwemnda kwenye marathons. Hatukatai watu kusikiliza muziki ila iwe kistaarabu. Hii ni public transport kuna watu wa aina nyingi. Kuna wazee,watoto wagonjwa sio wote wanaweza kusikiliza makelele ya muziki.
Tunaomba TRC iweke utaratibu wa kudhibiti hawa wapiga muziki kwemye treni au kama utaratibu upo tunaomba ukaziwe maanake mara nyingi tuliripoti kwa wahudumu wa TRC ila hakuna kilichofanyika.
Hao ni wanajeshi ndugu yangu hawana dhiki wala kutamani mapenzi kama wa mtaani.Na pia jamani hao warembo mbona sometimes skitu fupi sanaaa...tunatiana majaribuni na tukiwaomba namba hawatoi
Wanajeshi mbona wana aa kimitego sasaHao ni wanajeshi ndugu yangu hawana dhiki wala kutamani mapenzi kama wa mtaani.
customer care bosiWanajeshi mbona wana aa kimitego sasa
Mwee kastama kea gani madumu mapaja tunaona bwanacustomer care bosi
tamaaaaNa pia jamani hao warembo mbona sometimes skitu fupi sanaaa...tunatiana majaribuni na tukiwaomba namba hawatoi
Wala sio tamaa kama wewe ni mwanaume alafu skiti fupi yenye kuonyesha mapaja haidindishi kibamia chako basi wee ni upinde grouptamaaaa
Haiwezekanicustomer care bosi
😀😀😀😀kujiendekeza bhanaWala sio tamaa kama wewe ni mwanaume alafu skiti fupi yenye kuonyesha mapaja haidindishi kibamia chako basi wee ni upinde group
Wee huwezi elewa maana huna mbooo una mbususuu😀😀😀😀kujiendekeza bhana
Panda business class kama hutaki kero
Koffi Annan jifunze kitu hapo.TRC wanaruhusuje huu ujinga?
Kwenye usafiri wa umma, hata kuweka loudspeaker tu kwenye simu haitakiwi! Sio ustaarabu na ni ushamba. Ndio maana kuna ear/headphones!