KERO Hongereni TRC ila zingatieni ustaarabu wa Abiria wanaopiga muziki kwa Spika za Bluetooth, ni kero

KERO Hongereni TRC ila zingatieni ustaarabu wa Abiria wanaopiga muziki kwa Spika za Bluetooth, ni kero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Pia kwenye TV zenu punguzeni matangazo ya TRC,yaani tangazo kuanzia Dar mpaka Dom yanarudiwa rudiwa inachosha,weka movie
 
wanaokwemnda kwenye marathons
Dodoma ina Marathon 3;
1. NBC Dodoma Marathon
2. Sepesha Rushwa
3 Capital City Marathon
recent na popular ni NBC Marathon, is it true ndo imekufanya ulete hii concern?
so far SGR huwa wana utaratibu wa kuzuia kelele za aina hiyo, sio mara moja kusikia wakitoa warning kuepusha kelele usemazo!
 
Sijaelewa unauliza is it true kwamba huamini au ? Natumia train hii mara nyingi na hizi vurugu mara nyingi zinakuwa uncontrollable kukiwa na waendao au wanaorudi marathons.
 
Niwaombe TRC waongeze mishahara kwa wafanyakazi wao ,sio kuwavalisha tu uniform ila mishahara kiduchu...Wajaribu hata kuwapa mafunzo ya nje mara kwa mara ,wakubwa wasiwabanie watendaji wa chini .
 
Niwaombe TRC waongeze mishahara kwa wafanyakazi wao ,sio kuwavalisha tu uniform ila mishahara kiduchu...Wajaribu hata kuwapa mafunzo ya nje mara kwa mara ,wakubwa wasiwabanie watendaji wa chini .
Wanalipwa kiasi gani?
 
Kuna jamaa wapo kama wanne wao kazi yao ni kunywa pombe na kusumbua abiria ndani ya treni, ovyo kweli
Safari ya masaa manne mtu anataka anywe pombe hadi alewe halafu aanze kupiga muziki kwa sauti huku akicheza kwenye aisle!
 
Back
Top Bottom