KERO Hongereni TRC ila zingatieni ustaarabu wa Abiria wanaopiga muziki kwa Spika za Bluetooth, ni kero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Niwaombe TRC waongeze mishahara kwa wafanyakazi wao ,sio kuwavalisha tu uniform ila mishahara kiduchu...Wajaribu hata kuwapa mafunzo ya nje mara kwa mara ,wakubwa wasiwabanie watendaji wa chini .
Mishahara yao kiasi gani,ili tujue kama ni kiduchu kweli au la?
 
Pia TRC sometimes mnakosa umakini. Juzi nilipanda behewa eti tunaondoka ndio wanatuomba radhi kuwa lina hitilafu. Tulikaa gizani na bula hewa kutoka Dodoma hadi Dar. Ingekuwa nchi nyingine mngeshtakiwa na mngelipa fidia.
 
Pia TRC sometimes mnakosa umakini. Juzi nilipanda behewa eti tunaondoka ndio wanatuomba radhi kuwa lina hitilafu. Tulikaa gizani na bula hewa kutoka Dodoma hadi Dar. Ingekuwa nchi nyingine mngeshtakiwa na mngelipa fidia.
Bila hewa una maana mlisafiri Dom to Dar bila AC? How?
 
Safari ya masaa manne mtu anataka anywe pombe hadi alewe halafu aanze kupiga muziki kwa sauti huku akicheza kwenye aisle!
Halafu akilini mwao wanajikuta "wamjini", kumbe washamba tu!
 
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza TRC kwa kuendesha SGR mwaka mzima kwa ufanisi na kiwango kile kile mlichoanza nacho. Kwa hili mnastahili pongezi.
Kweli, wamejitahidi sana. Sikutarajia kutokana na asili yetu ya ubabaishaji. Ila, waongezee bidii kwenye usafi wa vyoo. Wakati mwingine harufu uwepo kutoka vyooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ