Hongereni Uongozi wa JamiiForums kwa kutoweka Hadharani Zawadi zetu Nono kwani Wengine Simu zetu sasa zinaisha Chaji tu kwa Kukopwa

haha kwahiyo leo ile charismatic uliyokua unaisema ndiyo imeanza kuonekana live ??
 
Hivi Genta hukuwa na gari? Naomba kama utapewa gari kawe ka Toyota IQ halafu kawe kamepigwa machata ya Jamii Forum kila sehem
 
Hivi Genta hukuwa na gari? Naomba kama utapewa gari kawe ka Toyota IQ halafu kawe kamepigwa machata ya Jamii Forum kila sehem
Kama Hela ya Kula tu sina na ni Shida hiyo ya Kununulia Gari nitakuwa nayo Mkuu?

Yaani kuwepo Kwako kote hapa JamiiForums hujajua tu kuwa Mimi ni Masikini Mwandamizi JF?
 
Usisahau chawa katika fungu lako la zawadi ,muhimu kugawana riziki nipo Kibaigwa hapa nagonga ulimbo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…