Hongereni Uongozi wa JamiiForums kwa kutoweka Hadharani Zawadi zetu Nono kwani Wengine Simu zetu sasa zinaisha Chaji tu kwa Kukopwa

Hongereni Uongozi wa JamiiForums kwa kutoweka Hadharani Zawadi zetu Nono kwani Wengine Simu zetu sasa zinaisha Chaji tu kwa Kukopwa

Halafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na Wengine wanaonijua katika simu yangu.

Hivi hawakujui na hawajui Mziki wako jinsi ulivyo Mtata hasa pale uonapo kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums kila mara tu Wanashoboka na Mimi GENTAMYCINE wako?
haha kwahiyo leo ile charismatic uliyokua unaisema ndiyo imeanza kuonekana live ??
 
Hivi Genta hukuwa na gari? Naomba kama utapewa gari kawe ka Toyota IQ halafu kawe kamepigwa machata ya Jamii Forum kila sehem
 
Chondechonde Kama ni mambo ya kukabidhiwa zawadi na kupigwa picha walahi yule cocastic ataitoroka zawadi yake
D08A6E31-B5DB-48C5-B22E-F05915573886.jpeg
 
Hivi Genta hukuwa na gari? Naomba kama utapewa gari kawe ka Toyota IQ halafu kawe kamepigwa machata ya Jamii Forum kila sehem
Kama Hela ya Kula tu sina na ni Shida hiyo ya Kununulia Gari nitakuwa nayo Mkuu?

Yaani kuwepo Kwako kote hapa JamiiForums hujajua tu kuwa Mimi ni Masikini Mwandamizi JF?
 
Usisahau chawa katika fungu lako la zawadi ,muhimu kugawana riziki nipo Kibaigwa hapa nagonga ulimbo..
 
Back
Top Bottom