Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
haha kwahiyo leo ile charismatic uliyokua unaisema ndiyo imeanza kuonekana live ??Halafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na Wengine wanaonijua katika simu yangu.
Hivi hawakujui na hawajui Mziki wako jinsi ulivyo Mtata hasa pale uonapo kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums kila mara tu Wanashoboka na Mimi GENTAMYCINE wako?