Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu jiandae tumsindikize shem wakoNasubiria wapost picha mkipokea hizo zawadi.. tuwatizame na kuona nani ni nani, nani ndio nani.
Nina picha yangu kichwani 🤣🤣🤣🤣Hahaaaaa, nina hamu na UMUGHAKA
Wewe Tuzo yako ya Upopoma utaichukua lini?Wali nyama + tuzo mbao 😂
Hili ndilo sitaki kabisa litokee Mkuu Ok?Tutamuona game changer 😁
2023 mwaka wetuWewe Tuzo yako ya Upopoma utaichukua lini?
Unahofia nini au ni public figure nje ya jf?Hili ndilo sitaki kabisa litokee Mkuu Ok?
Karismatic fellaTutamuona game changer 😁
Huwa napenda mno Kuwachangamsheni 24/7 hapa JamiiForums Mkuu wangu.Genta unazingua😂😂
Kumbe Genta ni shemejiEbu jiandae tumsindikize shem wako
Kwani Genta ni mpare? 😂Mleta mada atakuwa yule mfupi kuliko wote.
[emoji23][emoji23] Umenifanya nimecheka sanaaKumbe Genta ni shemeji
Na sikuwa na taarifa [emoji23]
Basi yeye nitafumba macho nisimuone
Siku hiyo naomba wavae sare za vitenge kutoka kigoma 😂Karismatic fella
Namsubiria nimuone
Na ambavyo hawako wengi… mbona ni chap sana kuwanasa
tetesi mtapewa toyo na vi-swaswaduHalafu Sweety wangu Shunie kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums siku zote tu Wananichunia leo Kudadadeki zao wameona GENTAMYCINE naenda Kuzawadiwa Mamilioni na Gari wameanza Kunisumbua PM na Wengine wanaonijua katika simu yangu.
Hivi hawakujui na hawajui Mziki wako jinsi ulivyo Mtata hasa pale uonapo kuna Wanawake Wenzako hapa JamiiForums kila mara tu Wanashoboka na Mimi GENTAMYCINE wako?
Ama mabatiki 😂Siku hiyo naomba wavae sare za vitenge kutoka kigoma 😂
😂😂 Alumni wa SAUT wanamjua.Kwani Genta ni mpare? 😂
😂😂 umejua kuwapatia sanaAma mabatiki 😂
😂😂 wachaaaa😂😂 Alumni wa SAUT wanamjua.
Mfupi mweupe.