Niombee kwanzaHizo kondom ndo zimekuweka mbali na Mungu hadi unaona haya kurudi na bado unawapongeza wagunduzi! Mungu anasamehe yote mwendee tu kwa moyo wa kutubu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lako halisi nani? Siwezi kupeleka kwa Mungu hilo jina la Popoma
Ngananga mhuvaJina lako halisi nani? Siwezi kupeleka kwa Mungu hilo jina la Popoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa boss pass my greeting to him/herHakuna mgunduzi wa kondom humu!!
Pongezi zake hazijafika kwa wahusika
aeiou
Alisha kufa