popoma
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 2,378
- 3,363
Mimi popoma nawapongeza sana mliogundua kondomu.Maana zinanisaidia sana njia nilizopita ni mbaya sana natamani nirudi kwa mungu ila nahisi sitapokelewa.Uovu nilioufanya hata shetani ameniogopa.All in all nimefika hapa kwa ajili ya condoms nawasilisha hii Tanzania ya viwanda asubuhi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app