Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
Hello JF!
Leo nimeona tukutane kwenye huu ‘mkutano’ tujadili upinzani, nafasi yake kwa sasa na muelekeo ama future direction iweje.
Nawasihi tuifanye hii topic kimaswali na majibu ili kustimulate minds zenu.
Kwanza, tumpongeze number moja upinzani Mbowe, amepitia mengi kama yeye na kwenye safari yake kama mwanasiasa but HE REMAINED CONSISTENT! kongole kwako mkuu Mbowe!
Kuna wanaopiga kelele you should step down which I agree but this was supposed to be ages ago, not now.
Sasa hivi upinzani umepoteza wengi so nadhani kuachia kiti haitaleta effect yoyote, ila ingependeza kama mngekuwa na clear plan ya kurecruit new members kwenye uongozi wenu.
Kuona wakina Mnyika, Lema miaka yote inachosha eti, tunahitaji new faces but wawe charismatic, educated na wawe na energy sawa au more than old members!
Second nachoweza kushauri muunde kama baraza lililosheheni ‘Wataalamu’ mbalimbali ambalo wabunge wenu watapata ushauri professional kabla ya kwenda na kutoa hoja bungeni mnawa consult hao kwanza!
Katika gap kubwa ambalo nadhani wengine waliliona ni kutopingwa kwa Rais Magufuli in his decisions, miradi yote anafanya bila kuwa challenged, na hawi challenged because simply wapinzani knows little about cheaper or alternative option.