Post yako haina falsafa niliyoitegemea as per heading!
Shamba la Bwana ni kubwa na kazi ni ningi lkn watendaji wachahche. Rebbeca, unadhani katka udikiteita wa utawala huu kama siyo kuwa na Mbowe and his team hao uliowasema kungelikuwa na CDM? Kuna environment ambazo unaweza kubadilisha uongozi, siyo sasa!
Tunataka wajenga nchi na si wavunja nchi kwa mwavuli wa chama. Ikulu bila utu ni kufuru. Kwanini, pasiwepo mgombea binafsi ili kuepusha rabsha na giliba zote hizi za vyama pinzani na chama 'twala'?
Never! Never, Never! Huwezi kujaribu sumu kwa kuionja! Uhakika mni kuwa kama kuna uchaguzi huru CDM inapita! Kila mmoja amechoka, amechoka! Watu rohoni wana maoni utastaajabu!Nitatoaje falsafa na mimi sio mwanafalsafa mkuu,,,,LOL, trust me mkimweka mtu mpya educated,charismatic, mwenye VISION ...mtaweza ku grab attention ya public katika kipindi hiki kifupi,...Kama kufanya mapinduzi then ni Sasa, watu watajiuliza ni nani anamrithi Mbowe..mtavuta public attention, hapo ndipo huyo mtu mpya atakapoonyesha sera zake...ni tactic bro!
Mbowe anaweza hata kurudi kwenye uongozi baada ya miezi sita😂😂😂😂😂😊😊😊😊🙈🙈🙈
Ukisha kuwa na mgombea binafsi una kuwa umevunja nguvu za uchama, hapo linakuwa pambano la mtu na mtu, kavu kavu, mieleka ya uhakika, matopeni. Mwenyenguvu akalie kiti. Huo ndiyo utakuwa mwisho wa porojo majukwaani.Mkuu kama upinzani tu ni wanahangaishwa hivi , je huyo mgombea binafsi atatoka wapi?? Si atapata presha na kufa kabla hajaanza
Ukisha kuwa na mgombe binafsi una kuwa umeivunja nguvu za uchama, hapo linakuwa pambano la mtu na mtu, kavu kavu, mieleka ya uhakika, matopeni. Mwenyenguvu akalie kiti. Huo ndiyo utakuwa mwisho wa porojo majukwaani.
'We need New -Mtikilas' to take over!' Mkuu, penye uthubutu ndipo uandikwa historia kwa wino wa chuma cha pua (udumuo) daima.Nimekuelewa mkuu,thanks..ila inahitaji sana uthubutu..lol