Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

hongera sana machozi yananitoka kwa furaha,nahisi yesu anarudi ukombozi huuuuooo
 
Sitamsahau kwa kauli yake "MTAKULA ATA NYASI NDEGE YA RAISI LAZIMA ITANUNULIWA"
 
nasikia maeneo ya kariakoo, kisutu upanga, wahindi wameondoka wapo Canada, na UK,baba yao CCM kavuliwa nguo
 
Mshahara wa ufisadi ni wananchi kuwakataa..................sasa Pesambili akazame kujisafisha huko mahakamani vinginevyo jela yamsubiri...............
 
sasa ni wakati wa yeye Mramba kula nyasi ambazo aliwataka watanzania wazile eti ndege ya rais inunuliwe.Amezoea kula kwa siasa sasa yuko nje ya siasa.Apumzike kwa amani, amen.
 
wacha kikafie mbele hiki kidingi...sikiupeendi hiki kikaanga sumu....
 
Kweli kama ni kweli basi Demokrasia imekua Tanzania! Watanzania wa sasa sio wale wa mwaka 47! Bravo Oposition!
 
RIP MRAMBAaaaaaaaaaaaaa hoeyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
 
Thank God, watanzania wa arombo wamemsimamisha kwa manufaa ya umma, ilikuwa inatia kinyaa wengine bado...Slaa hata kama hatashinda amelifanyia Taifa hili kazi nzuri sio tu kuwaanika walaji wakubwa wa mali za umma bali kuamsha ari ya siasa tangu rekodi ilipowekwa mwaka 1995.
 
Kwa gadhabu akasimama akamtaza Hamani. AKASEMA MTOENI NJE HAMANI TENA MVIKENI SANDA NYEUSI AKAFIE HUKO.

AHSANTE ROMBO
 
Aibu kwa jeykey maana alimnyanyua mkono kuwa ni mchapakazi, sasa inaonekana kuwa wote si wachapakazi na maneno yake yote hayatekelezeki.
aibuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Rombo Selasini Kidedea, Fisadi Kambale Mramba Chali!!!
 
Back
Top Bottom