sasa ni wakati wa yeye Mramba kula nyasi ambazo aliwataka watanzania wazile eti ndege ya rais inunuliwe.Amezoea kula kwa siasa sasa yuko nje ya siasa.Apumzike kwa amani, amen.
Thank God, watanzania wa arombo wamemsimamisha kwa manufaa ya umma, ilikuwa inatia kinyaa wengine bado...Slaa hata kama hatashinda amelifanyia Taifa hili kazi nzuri sio tu kuwaanika walaji wakubwa wa mali za umma bali kuamsha ari ya siasa tangu rekodi ilipowekwa mwaka 1995.
Aibu kwa jeykey maana alimnyanyua mkono kuwa ni mchapakazi, sasa inaonekana kuwa wote si wachapakazi na maneno yake yote hayatekelezeki.
aibuuuuuuuuuuuuuuu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.