Wivu umekuzidiHalafu kumbuka tupo katika kipindi cha kampeni na harakati za kiuchaguzi.
Kwaiyo sio kila njano na kijani unayoiyona ni jezi ya yanga
Wivu uko wapi kama hapo?Wivu umekuzidi
Simba ilitumia viwanja viwili Mkapa na Uhuru laiti kama ingetumia kiwanja kimoja nadhani Mkapa ingejaa sanakelele zote za manara kila siku wasafi bado wakashindwa kujaza....leo inakuja yanga bila hata kutumia nguvu kubwa wanajaza...apa ndipo ninapo amini sometime pesa sio kila kitu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Wananchi hawana shughuli ndogo
Uhuru hata watu 50 hawakuwepoSimba ilitumia viwanja viwili Mkapa na Uhuru laiti kama ingetumia kiwanja kimoja nadhani Mkapa ingejaa sana
Ila no nguvi ya ummaHalafu kumbuka tupo katika kipindi cha kampeni na harakati za kiuchaguzi.
Kwaiyo sio kila njano na kijani unayoiyona ni jezi ya yanga
ππππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Halafu kumbuka tupo katika kipindi cha kampeni na harakati za kiuchaguzi.
Kwaiyo sio kila njano na kijani unayoiyona ni jezi ya yanga
Kumbuka pia hata hao Yanga walifanya kampeni hapo hapo Wasafi engineer helse alifanya exclusive interview na sports Arena siku ya ijumaa na kupata promo kubwa na akina Maulidi kitenge na mwenzake Yusuph mkule na crew nzima ya sports Arena na sports court au umesahau?kelele zote za manara kila siku wasafi bado wakashindwa kujaza....leo inakuja yanga bila hata kutumia nguvu kubwa wanajaza...apa ndipo ninapo amini sometime pesa sio kila kitu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kafanya nini?Yuzo mawe Kiufupi harmonize kawachafulia Tamasha lenu mazuri yote mliofanya yameharibiwa na show yake