Yuzo mawe
JF-Expert Member
- May 31, 2019
- 494
- 551
Achana na shoo ya konde boy,tangu nianze kufuatilia hizi Simba day na wananchii day,Leo kwa mara ya kwanza nimeshuhudia timu ya yanga sc wakifanikiwa kuujaza uwanja kwa asilimia 99.9.
Niipe "heko" marketing management na watu wote waliohusika kufunikisha hili wakiwemo muhamasishaji Nugaz,na msemaji wa timu Hassan bumbuli.
Simba sio mbaya mkajifunza kupitia kwa hili ambalo yanga walilolifanya,Kwani kujifunza kwa mtu mwingine kitu ambacho kinajenga sio mbaya.
Hakika leo nimeiona nguvu ya umma.
Ukinina,you must have a reason.