Hongereni wananchii, leo Dar ilikua ni kijani na njano

Manara hakuja wasafi mzee baba? Mbona hakukujaa na huwa ana tambo kwamba simba ndo ijazayo uwanja tu

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Harmonize alijifanya commando akawa anapita na kamba juu ya uwanja akadondoka chini, tukio Hili limenifanya nijue si kila u ubunifu Ni mzuri ubunifu mwingine Ni vichekesho.
Ndugu, ajali hutokea. Alichokifanya ni kikubwa tu, ukilinganisha na anavyojiita basi ilileta mantiki.

Shida wewe ndugu, unatazama zaidi kwa jicho la kutafuta makosa.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Manara hakuja wasafi mzee baba? Mbona hakukujaa na huwa ana tambo kwamba simba ndo ijazayo uwanja tu

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Haji amesema kwamba ukataji wa tickets ulikuwa kikwazo kikubwa na hii Ni kweli kwasababu hata Mo mwenyewe ticket yake ilishindwa kusoma kwenye mtandao wao, pia idadi kubwa ya watu walishindwa kuingia uwanjani.
 
Ndugu, ajali hutokea. Alichokifanya ni kikubwa tu, ukilinganisha na anavyojiita basi ilileta mantiki.

Shida wewe ndugu, unatazama zaidi kwa jicho la kutafuta makosa.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Sio tu hivyo pekee angalia sauti ilikuwa aikiki vizuri plus sound mbovu ya uwanjani ilikuwa majanga kwani wewe ukuona Hilo?
 
Acha kudanganya watu , magape yote hayo unasema mmejaza uwanja , sema mlichokifanya ni kutawanyika kwenye viti muonekane mmejaza uwanja
 
Simba ilitumia viwanja viwili Mkapa na Uhuru laiti kama ingetumia kiwanja kimoja nadhani Mkapa ingejaa sana
Haaaaaahaaaa viwanja viwili? Acha kuongopa hilo ndio lilikuwa lengo lenu ila hamkujaza tuweke ushabiki pembeni siku ile taifa haikujaa shamba la bibi hakukuwa na watu kabsaaaaa nusura ile bigscreen iibiwe hao Madrid wenyewe huwa wanajaza uwanja mmoja nyie digidigi eti mnaongea kwa kubana pua "tutajaza viwanja viwiliiiii" km upo mkoani hata TV hukuangalia unaongopewa vilijazwa tuskilize tuliomjini hapa uongo mlibuma
 
Uhuru hata watu 50 hawakuwepo
Ndio hpo ninaposhangaa huo mmoja haulujaa hivyo viwili vipi wanaongelea? au wenzetu waliangalia kupitia television ipi? Taifa haikujaa anayesema ilijaa aje hapa mwaka jana simba day walijaza uwanja mwaka huu mmepotea huo ndio ukweli
 
Manara hakuja wasafi mzee baba? Mbona hakukujaa na huwa ana tambo kwamba simba ndo ijazayo uwanja tu

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Achana nao hao wamevurugwa walikuwa wanasubiri tushindwe kuujaza uwanja waongee hawaamini kilichotokea leo wanaropokwa tu kwa hasira siku yao ile hadi kiza kinaingia kulikuwa na mapengo leo saa kumi tu full package
 
Ndugu, ajali hutokea. Alichokifanya ni kikubwa tu, ukilinganisha na anavyojiita basi ilileta mantiki.

Shida wewe ndugu, unatazama zaidi kwa jicho la kutafuta makosa.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Nawe unakubali kwamba alidondoka wenzetu mliangalia TV ipi? Unaingizwa kingi na hao mikia nawe unaingia tu nahisi hujafatilia show hakuna sehem konde alidondoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…