SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Manara hakuja wasafi mzee baba? Mbona hakukujaa na huwa ana tambo kwamba simba ndo ijazayo uwanja tuKumbuka pia hata hao Yanga walifanya kampeni hapo hapo Wasafi engineer helse alifanya exclusive interview na sports Arena siku ya ijumaa na kupata promo kubwa na akina Maulidi kitenge na mwenzake Yusuph mkule na crew nzima ya sports Arena na sports court au umesahau?
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app