Hongereni wanawake mnaotukataa kistaarabu, pale tunapowatongoza kistaarabu, amini mko wachache sana

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Kwenye utongozaji Linapokuja swala la kukataliwa, wanaume tunakutana na wanawake wa aina mbili:

Aina ya kwanza ya wanawake ni wale ambao ukiwatongoza, wakikukataa, hadi moyo unaridhika, unatamani hata umnunulie smartphone mpya, na unamtakia kila la heri huko aendako, yani anakukataa in a straight, honest & polite way kwa lugha ya upole, kama mwanaume unajielewa, unaondoka na furaha na mnaachana kiroho safi kwa amani, ilhali umekataliwa, ila aina hii wapo wachache sana.

Aina ya pili hii ndio wako wengi, yani ukiwatongoza, mwanaume ujiandae na psychological torture na mind games, na ukiongea naye utajibiwa kwa chuki, hadi unajiuliza huyu mdada ni binadamu au pepo, lyk jinsi mtu unavozidi kumuonesha love, ndivo anavozidi kukuchukia, pengine tunatongoza mapepo bila kujua, maana io sio nature ya kibinadamu kabisa.

Wanawake mnaotukataa kistaarabu mko wachache, hongereni mna sehemu yenu peponi.
 
Hahahahabaha....Hongera kwao
 
Hao ni bomu anakua kategesha anasikilizia akiona huku hapalipi anahamia kule kimya kimya.
Naamini mwanamke yoyote alievunja ungo, anajua aina ya mwanaume anaemtaka, kama namtongoza mdada, hakubali wala hakatai, it means mimi sio kipaumbele kwa huyo mdada, hivyo mimi nitaacha kumfuatilia Dream Queen
 
Kwenye utongozaji Linapokuja swala la kukataliwa, wanaume tunakutana na wanawake wa aina mbili:

Aina ya kwanza ya wanawake ni wale ambao ukiwatongoza, wakikukataa, hadi moyo unaridhika, unatamani hata umnunulie smartphone mpya, na unamtakia kila la heri huko aendako, yani anakukataa in a straight, honest & polite way kwa lugha ya upole, kama mwanaume unajielewa, unaondoka na furaha na mnaachana kiroho safi kwa amani, ilhali umekataliwa, ila aina hii wapo wachache sana.

Aina ya pili hii ndio wako wengi, yani ukiwatongoza, mwanaume ujiandae na psychological torture na mind games, na ukiongea naye utajibiwa kwa chuki, hadi unajiuliza huyu mdada ni binadamu au pepo, lyk jinsi mtu unavozidi kumuonesha love, ndivo anavozidi kukuchukia, pengine tunatongoza mapepo bila kujua, maana io sio nature ya kibinadamu kabisa.

Wanawake mnaotukataa kistaarabu mko wachache, hongereni mna sehemu yenu peponi.
mkuu ushapigwa tayari utuliege aisee
 
Back
Top Bottom