Hongereni Wanyakyusa kwa kuongoza kutoa nyota wengi wa Mpira wa miguu

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Nianze na Hernly Moris aliwahi kuwa mfungaj Bora, Ulimboka Mwakingwe, Mwamnyeto, Kakolanya na George mpole na wengineo weng,wote hao ni wanyaki, Kabila la akina ngosha bado lipo nyuma Sana Kisoka.
 
Nianze na Hernly Moris aliwahi kuwa mfungaj Bora,Olimboka Mwakingwe,Mwamnyeto,Kakolanya na George mpole na wengineo weng,wote hao Ni wanyaki,Kabila la akina ngosha bado lipo nyuma Sana Kisoka.

Siyo kila mwenye jina linaloanzia na Mwa ni mnyaki. Mwamnyeto ni Mdigo. Mwishowe utasemaje Mwameja ,Mwakuruzo,Mwajeki nao ni wanyakyusa?
 
Siyo kila mwenye jina linaloanzia na Mwa ni mnyaki. Mwamnyeto ni Mdigo. Mwishowe utasemaje Mwameja ,Mwakuruzo,Mwajeki nao ni wanyakyussa
Hao nlioirodhesha wote ni Wanyakyusa
 
Nianze na Hernly Moris aliwahi kuwa mfungaj Bora,Olimboka Mwakingwe,Mwamnyeto,Kakolanya na George mpole na wengineo weng,wote hao Ni wanyaki,Kabila la akina ngosha bado lipo nyuma Sana Kisoka.

Emanuel Gabriel
Shedrack Nsajigwa
Godfrey Bonny
Godwin Aswile
n.k

Nyanda za juu kusini, kanda ya ziwa, Tanga, Kigoma na Moro hizi sehemu zimetoa wachezaji wengi sana
 
Emanuel Gabriel
Shedrack Nsajigwa
Godfrey Bonny
Godwin Aswile
n.k

Nyanda za juu kusini, kanda ya ziwa, Tanga, Kigoma na Moro hizi sehemu zimetoa wachezaji wengi sana
Kanda ya ziwa hapana
 
Emanuel Gabriel
Shedrack Nsajigwa
Godfrey Bonny
Godwin Aswile
n.k

Nyanda za juu kusini, kanda ya ziwa, Tanga, Kigoma na Moro hizi sehemu zimetoa wachezaji wengi sana
Hiv Edby Jonas Lunyamila alitoka mkoa gan mkuu?
 
Mwamnyeto ni jina la Kidigo, wao pia wana majina yanayoanza na Mwa...

Kuna Mwakizaro, Mwapachu, Mwakidila n.k
Umenikumbusha mbali sana ulipotaja Mwakizalo. Hiyo Ilikuwa mitaa yangu ya kujidai na kuilala mimama ya kitanga enzi za ujana. Kuna Mwanzange, Mwakidila pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…