Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nianze na Hernly Moris aliwahi kuwa mfungaj Bora,Olimboka Mwakingwe,Mwamnyeto,Kakolanya na George mpole na wengineo weng,wote hao Ni wanyaki,Kabila la akina ngosha bado lipo nyuma Sana Kisoka.
Nianze na Hernly Moris aliwahi kuwa mfungaj Bora,Olimboka Mwakingwe,Mwamnyeto,Kakolanya na George mpole na wengineo weng,wote hao Ni wanyaki,Kabila la akina ngosha bado lipo nyuma Sana Kisoka.
umefeli,Bakari Nondo Mwamnyeto sio Mnyakyusa ni Mdigo wa Tanga waja leo kurudi majaaliwa.Ndiyo
KigomaHiv Edby Jonas Lunyamila alitoka mkoa gan mkuu?
Umenikumbusha mbali sana ulipotaja Mwakizalo. Hiyo Ilikuwa mitaa yangu ya kujidai na kuilala mimama ya kitanga enzi za ujana. Kuna Mwanzange, Mwakidila pia.Mwamnyeto ni jina la Kidigo, wao pia wana majina yanayoanza na Mwa...
Kuna Mwakizaro, Mwapachu, Mwakidila n.k