jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Habari za jioni watanzania!
Kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja tumekuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Katika kipindi chote hiki Watanzania tumeonesha ustaarabu wetu kwa kufanya kampeni safi bila ugomvi au rushwa.
Wapo waliotumwa kuvuruga hali ya hewa hata kabla ya kuingia siku ya upigaji kura lakini mmewadhibiti vilivyo. Tunapoelekea oktoba 28 tuhakikishe tunaitunza tunu ya amani tuliyoachiwa na waasisi wa Taifa letu. Tukapige kura kwa utulivu na kuwachagua viongozi wetu kwa amani.
Haki na amani vitawale uchaguzi wetu wa awamu hii.kamwe tusikubali mabeberu watuletee vihoja...mwaka huu fedha ya kufanyia uchaguzi hatujaomba nje ya nchi, hii ni hatua muhimu.
Piga kura rudi nyumbani na ushindi mkubwa utakuja.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!