Uchaguzi 2020 Hongereni Watanzania tukaioneshe Dunia kuwa tupo huru na hakuna wa kuharibu amani yetu

Turudi nyumbani kufanyaje CCM mtarudi sisi tutabaki
 
Sipigi kura ng'o kwa sababu hakuna haki. Iweje mgombea anayetetea kiti aseme washindani wake sio halali na tume kukaa kimya?
 
Amani ndo kila kitu,, amani ikipotea hamtairudisha kamwe hadi mwisho wa dunia unafika.
Bin Shib hapana HAKI hurudisha amani mbonaa..fanya reference kwa Wajerumani baada ya Hitler kuondoa amani ikarudi..Rwanda pia hata Uganda
 
Mvua ya Amani imeanza kunyesha
 
Wakala wa mabeberu yupo chaliiii na usikute yupo viunga vya Brussels hahaha.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…