Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aghhh nikajua unatuwish happy birthday tuliozaliwa leoLeo ni tarehe 01/07/2017 nawakumbusha ile kauli "atakaefika tarehe 01/07/2017 Dar, yeye ni mwanaume"
Hongereni wote ni wanaume sasa.
Kumbe ww si mwanaume!ok hebu tupia ka clip basi kusupport ulichoandikaLeo ni tarehe 01/07/2017 nawakumbusha ile kauli "atakaefika tarehe 01/07/2017 Dar, yeye ni mwanaume"
Hongereni wote ni wanaume sasa.
Mad brainIdiot plus dirty
Umetisha Mkuu ...Nipo Mikumi nakuja naenda huko itabid nishuke Chalinze nichukue mwanamke wa kuja nae huko, kama wote mshakua wanaume si mtakulana wenyewe sasa