Hospital gani nzuri mikoa ya kanda ya ziwa yenye Madaktari Bigwa wa Masuala ya uzazi?

Hospital gani nzuri mikoa ya kanda ya ziwa yenye Madaktari Bigwa wa Masuala ya uzazi?

VeroEretico

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
512
Reaction score
398
Msaada anayejua Hospital nzuri yenye specialist wa mambo ya uzazi Kanda ya Ziwa aniambie Tafadhali!
 
Kama wewe ni mwanamke, basi tafuta tu nauli halafu usafiri kwenda Dar. Hospitali ya Taifa Muhimbili na Hospitali ya Kairuki, wapo vizuri sana kwenye ugunduzi wa changamoto za uzazi kwa wanawake.
 
Back
Top Bottom