VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 512
- 398
Msaada anayejua Hospital nzuri yenye specialist wa mambo ya uzazi Kanda ya Ziwa aniambie Tafadhali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada anayejua Hospital nzuri yenye specialist wa mambo ya uzazi Kanda ya Ziwa aniambie Tafadhali!
Wanawake kwa wanaume
Anapatikana mitaa ganiMwanza kwa 'kilonzo'
Bima inatumika hapo mkuuKwa kilonzo (Mwanza hospital)
Nilienda 2017 ilikuwa haitumiki sijui kwa sasa, andaa 30000 ya Daktari na mengine mengineBima inatumika hapo mkuu
AsanteNilienda 2017 ilikuwa haitumiki sijui kwa sasa, andaa 30000 ya daktari na mengine mengine