Muhimbili fast track ni nzuri sana japokuwa ni gharama kiasi chake, ila unahudumiwa vizuri sana, Gharama inategemea kwani kuna kujifungua kawaida kuna bei yake na kwa upasuaji bei yake pia, , . Kwani mimi nilifanyiwa upasuaji 2010 kwa laki sita na nusu. sijui kwa sasa.( NILIHUDUMIWA VIZURI SANA NA MPAKA LEO NI MIAKA 3 SIJAWAHI KUSUMBULIWA NA MSHONO) So kama utaamua kwenda Muhimbili uweke laki nane, au zaidi ina maana kama atajifungua kawaida bei itakuwa ndogo, pia hata kama ni upasuaji vilevile inaweza pungua. nawatakia kila la heri.