Hospitali gani bora ya Uzazi?

Hospitali gani bora ya Uzazi?

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,215
Nipo Dar, nataka kupata hospitali inayotoa huduma nzuri ya uzazi akajifungulie hapo mke wangu. Hiyo ni mimba ya kwanza. Naombeni ushauri niende hospitali ipi yenye huduma nzuri na malipo nafuu.

Natanguliza shukrani kubwa.
 
to me Muhimbili still the Best...nenda fast track...labda kama nwdays iwe imebadilika..but mtoto wetu alizaliwa 2010..was the best,safiiii.. unalala peke yako..nurse every single minute...kuwa na Dr wako...unakuwa na contact zake..u will enjoy huduma zao...
 
Muhimbili fast track ni nzuri sana japokuwa ni gharama kiasi chake, ila unahudumiwa vizuri sana, Gharama inategemea kwani kuna kujifungua kawaida kuna bei yake na kwa upasuaji bei yake pia, , . Kwani mimi nilifanyiwa upasuaji 2010 kwa laki sita na nusu. sijui kwa sasa.( NILIHUDUMIWA VIZURI SANA NA MPAKA LEO NI MIAKA 3 SIJAWAHI KUSUMBULIWA NA MSHONO) So kama utaamua kwenda Muhimbili uweke laki nane, au zaidi ina maana kama atajifungua kawaida bei itakuwa ndogo, pia hata kama ni upasuaji vilevile inaweza pungua. nawatakia kila la heri.
 
Ukubwa wa mfuko wako ndiyo ubora wa huduma.
Kwa Dar, aghakhan ndiyo the best.
huhitaji kuwa na daktari wako.wote wako committed kwa kuwa wanalipwa vizuri.wanajali mteja.
ila andaa mkwanja mrefu.
 
Mh...I acknowledge Agakhan kwa kweli...Ila sijui kwa dar bei ikoje but hope it is uniform; Mi juzijuzi nimempeleka wife Agakhan huku Dodoma gharama zao zilikuwa ni TZS 35,000/= only for any means of delivery, iwe njia ya kawaida au operation. Huduma zao kwa kweli ni nzuri na zinaridhisha sana.....Ifanyie uchunguzi zaidi kwa huko Dar gharama itakuwaje!!!
Hope pia iko chini compared to other private hospitals!!
 
hadhi ya Aghakhan haifanani kwa mkoa na mkoa kaka...nilishakaa Mbeya ...Aghakan yao ni kama tu Amana..35,000 kwa Aghakhan ya dar ni sawa na hela ya card tu baba
 
my ear nenda maria clinick ni kwa profesa mgaya ipo hapo mbuyuni pia yeye ni dokta bingwa wa wanawake pale muhimbili first track nakuhahikishia u will not regret
 
Muhimbili fast track ni nzuri sana japokuwa ni gharama kiasi chake, ila unahudumiwa vizuri sana, Gharama inategemea kwani kuna kujifungua kawaida kuna bei yake na kwa upasuaji bei yake pia, , . Kwani mimi nilifanyiwa upasuaji 2010 kwa laki sita na nusu. sijui kwa sasa.( NILIHUDUMIWA VIZURI SANA NA MPAKA LEO NI MIAKA 3 SIJAWAHI KUSUMBULIWA NA MSHONO) So kama utaamua kwenda Muhimbili uweke laki nane, au zaidi ina maana kama atajifungua kawaida bei itakuwa ndogo, pia hata kama ni upasuaji vilevile inaweza pungua. nawatakia kila la heri.

Kwani Amana na Mwananyamala hawazalishi? Na mbona wanawake kujifungua ni bure kwenye hospitali za serikali ni bure ina maana Muhimbili siyo ya serikali?
 
Back
Top Bottom