Hospitali gani inatoa miwani kupitia bima ya afya ya NHIF?

Hospitali gani inatoa miwani kupitia bima ya afya ya NHIF?

Sidhani kama NHiF wanacover gharama za miwani. Hapo ni kuingia mfukoni tu
NHIF hawa husiki na utoaji wa miwani ndugu mwaka Jana nilipata shida ya macho ilikua Dodoma nikaenda pale Benjamin mkapa nililipia miwani ila garam ilikua simple, jitahidi ufike mwenyewe hospital kubwa uonane n DK kuhusika hata bei itakua simple mkuu.
 
Asante kwa ufafanuzi japo umeniquote mimi... mwenye tatizo ni Mulhat Mpunga . Naamini atakusoma na kukuelewa
 
Acha ubahil bro pima miwani kachague frem nzuri uvae miwani upendeze.sio unavaa miwani kama ya bibi vizee kila mtu anajua unaumwa macho

  • UNAJUAJE KAMA MIMI NI KIJANA AMA MZEE
  • HATA HAWA wana JF WANA WAZAZI WAO WANAUHITAJI WA MIWANI SO NI SOMO KWA WENGINE
  • UBAHILI WANGU PIA HAUKUHUSU
  • TATIZO LA WANA JF MNAJIFANYA MKO MATAWI YA JUU KUMBE WENGINE NI WAOKOTA MAKOPO HUKO MITAANI
 
NHIF hawa husiki na utoaji wa miwani ndugu mwaka Jana nilipata shida ya macho ilikua Dodoma nikaenda pale Benjamin mkapa nililipia miwani ila garam ilikua simple, jitahidi ufike mwenyewe hospital kubwa uonane n DK kuhusika hata bei itakua simple mkuu.
sijasema Nhif wanatoa miwani nimeuliza kuna hospital inayoweza kunipatia miwani kwa kupitia bima ya NHIF............ nauliza jina la hospital ili nifike huko hospital
 
UNAJUAJE KAMA MIMI NI KIJANA AMA MZEE
PILI HATA HAWA JF WANA WAZAZI WAO WANAUHITAJI WA MIWANI SO NI SOMO KWA WENGINE
UBAHILI WANGU PIA HAUKUHUSU
TATIZO LA WANA JF MNAJIFANYA MKO MATAWI YA JUU KUMBE WENGINE NI WAOKOTA MAKOPO HUKO MITAANI
Usiwe mkali sana, watu hatufanani, naamini utapata msaada humu kwa wanaojua
 
Kwa policy ya NHIF miwani anapata principal member tu na ni miwani ya kusomea yenye thamani ya 20,000 tu.

princple member kivipi ?

asante nataka hata ya 5000 ilimradi nisipate hii adha niliyonayo hapa
 
Miwani nilinunua kwakweli Dawa nyngne za kichwa na macho nilipatiwa free kasoro Miwani.
 
Habari mkuu, noamba namimi unipe mrejesho nina tatizo la macho, pia nina kadi ya bima ya NHIF, ili nijue pakuanzia
 
Kama wewe ndie mhusika mkuu wa bima unapatiwa miwani ila ni ya bei ndogo sana imekaa kama toi. Hivyo kama haubagui nenda kawasikilize na kama ipo utapewa na kama haipo siyo rahisi japo utapewa maelekezo( government). Maana private nyingi huduma za macho zipo separate na bima hizo.
 
Back
Top Bottom