Joninho
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 559
- 611
NHIF hawa husiki na utoaji wa miwani ndugu mwaka Jana nilipata shida ya macho ilikua Dodoma nikaenda pale Benjamin mkapa nililipia miwani ila garam ilikua simple, jitahidi ufike mwenyewe hospital kubwa uonane n DK kuhusika hata bei itakua simple mkuu.Sidhani kama NHiF wanacover gharama za miwani. Hapo ni kuingia mfukoni tu