Hospitali gani inatoa miwani kupitia bima ya afya ya NHIF?

Hospitali gani inatoa miwani kupitia bima ya afya ya NHIF?

HABARI JF DOCTORS naomba kwa anayefahamu hospital hapa dar es salaam inayotoa miwani za macho kwa kupitia card za bima ya taifa NHIF tafadhali........ nina uhitaji wa haraka
Kuna wakati nilisikia macho na meno huwa havipo kwny list ya magonjwa yanayotibiwa kwa Bima, sijui ni kweli!
 
kwa uzoefu kutoka kwa wengi ambao wanatumia miwani ni kuwa Bima hiyo halipi miwani
 
wewe nakupigia na namba ya ofisi unaniambia mambo ya ajabu ajabu nikupigie na simu yangu try to be serious dumb fool ... sijapendezwa na tabia za kipuuz kama hizi mchewww

Halafu wakiitwa shit........................................... sijui nini wanakasirika nyooo
 
Halafu wakiitwa shit........................................... sijui nini wanakasirika nyooo
hahaha kaniudhi kwakweli halafu anauliza niongee na watu wangapi inaelekea hata haelewi simu maofisini zinakuwaje kisha anasema nimpigie na namba yangu sasa hayo yaltoka wapi? kisha yupo kwenye mngurumo wa bodaboda shubamit
 
princple member kivipi ?

asante nataka hata ya 5000 ilimradi nisipate hii adha niliyonayo hapa
Kama wewe ndio mwanachama wa mfuko wa bima then membership number yako inaanzia na 01- wewe ndio principal member.
 
Halafu wakiitwa shit........................................... sijui nini wanakasirika nyooo
hahaha kaniudhi kwakweli halafu anauliza niongee na watu wangapi inaelekea hata haelewi simu maofisini zinakuwaje kisha anasema nimpigie na namba yangu sasa hayo yaltoka wapi? kisha yupo kwenye mngurumo wa bodaboda shubamityes i
Kama wewe ndio mwanachama wa mfuko wa bima then membership number yako inaanzia na 01- wewe ndio principal member.
ndio mi ni namba 1 ni hospital zipi?
 
Amana, regency.
 
Utaratibu wa miwani na nhif, nhif bima ya afya kama bima za afya zingine na ina taratibu zake ambazo huzizingatia ktk kutoa huduma na isifirisike, biashara ya miwani ni pana sana kiasi kwamba siku izi waweza muona mtu kavaa miwani yenye jumla ya thamani hadi ya laki tano. Sasa nhif walikuja na mpango wao wenye masharti yafauatayo. Kwanza mnufaika wa huduma hii lazima awe mwanachama mchangiaji, pili inatolewa miwani kwa ajili ya kusomea tu (simple eye problems like myopiz and presbyopia) kama unashida kama complex kama astigmatism hawawezi kukugharamia huduma za miwani, wala fremu zenu zile za malaki huko... cha msingi unapohitaji huduma za macho hakikisha unaenda hospitali yenye vifaa ili ufurahie huduma kwa vipimo, maana ukishafanyiwa vipimo sahihi miwani utapata popote tu. Hospitali nyingi hasa hizi za serikali hazijawekeza katika vipimo (ni ghali sana) kiasi kwamba mpaka leo wanatumia local technics kubaini matatizo ya macho ambapo huwa rahisi sana to overlook shida kama astigmatism, hivyo suala ya uchaguzi ni muhimu, sikuizi kuna hospitali nyingi au specialized clinics za macho hapa mjini ambazo hutumia kadi za nhif, hata mtegemezi atapata huduma za uchunguzi bila shida, miwani ambayo nhif wana lipia hata 20,000 haifiki bei yake so jua ni low quality kiasi kwamba humu mjini waweza ambiwa watumia miwani ya kizee au kitoto.

Dr penadu
 
Kama wewe ndio mwanachama wa mfuko wa bima then membership number yako inaanzia na 01- wewe ndio principal member.
Hiyo ni kwa wanachama wa zamani ambao walikuwa wanatumia cheki number zao kama kadi namba sikuizi si hivyo tena, muda wa verification ndio utajua huyu ni mtegemezi au la
 
Back
Top Bottom