Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,059
Sawani asili yangu ukali na ninatatizo wagonjwa wengi wanakuwa wakali pale anapokuwa na matatizo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawani asili yangu ukali na ninatatizo wagonjwa wengi wanakuwa wakali pale anapokuwa na matatizo...
mhhhhh.....[emoji45] [emoji45]asante im calling in a second
Kuna wakati nilisikia macho na meno huwa havipo kwny list ya magonjwa yanayotibiwa kwa Bima, sijui ni kweli!HABARI JF DOCTORS naomba kwa anayefahamu hospital hapa dar es salaam inayotoa miwani za macho kwa kupitia card za bima ya taifa NHIF tafadhali........ nina uhitaji wa haraka
OKKuna wakati nilisikia macho na meno huwa havipo kwny list ya magonjwa yanayotibiwa kwa Bima, sijui ni kweli!
NINI?mhhhhh.....[emoji45] [emoji45]
Pole sana! Mpuuze tu!No thanks swala ni mawasiliano na naumwa mambo yake ya kik...ma apeleke hukoo
wewe nakupigia na namba ya ofisi unaniambia mambo ya ajabu ajabu nikupigie na simu yangu try to be serious dumb fool ... sijapendezwa na tabia za kipuuz kama hizi mchewww
mdomo wangu ulibaki wazi tu mkuu...[emoji12] [emoji12]NINI?
hahaha kaniudhi kwakweli halafu anauliza niongee na watu wangapi inaelekea hata haelewi simu maofisini zinakuwaje kisha anasema nimpigie na namba yangu sasa hayo yaltoka wapi? kisha yupo kwenye mngurumo wa bodaboda shubamitHalafu wakiitwa shit........................................... sijui nini wanakasirika nyooo
Kama wewe ndio mwanachama wa mfuko wa bima then membership number yako inaanzia na 01- wewe ndio principal member.princple member kivipi ?
asante nataka hata ya 5000 ilimradi nisipate hii adha niliyonayo hapa
hahaha kaniudhi kwakweli halafu anauliza niongee na watu wangapi inaelekea hata haelewi simu maofisini zinakuwaje kisha anasema nimpigie na namba yangu sasa hayo yaltoka wapi? kisha yupo kwenye mngurumo wa bodaboda shubamityes iHalafu wakiitwa shit........................................... sijui nini wanakasirika nyooo
ndio mi ni namba 1 ni hospital zipi?Kama wewe ndio mwanachama wa mfuko wa bima then membership number yako inaanzia na 01- wewe ndio principal member.
Amana, regency.hahaha kaniudhi kwakweli halafu anauliza niongee na watu wangapi inaelekea hata haelewi simu maofisini zinakuwaje kisha anasema nimpigie na namba yangu sasa hayo yaltoka wapi? kisha yupo kwenye mngurumo wa bodaboda shubamityes i
ndio mi ni namba 1 ni hospital zipi?
amana uwii ok thank youAmana, regency.
Rabininsia ndio wap mkuu?sawa..althought hapa nishapata majibu kuwa pale Rabininsia wanatoa miwani japo sio za aina zote so nitaanza nao kisha nitafanya mambo mengine
Ipo tegetaRabininsia ndio wap mkuu?
Hiyo ni kwa wanachama wa zamani ambao walikuwa wanatumia cheki number zao kama kadi namba sikuizi si hivyo tena, muda wa verification ndio utajua huyu ni mtegemezi au laKama wewe ndio mwanachama wa mfuko wa bima then membership number yako inaanzia na 01- wewe ndio principal member.