Hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje

Nenda Kairuki.Sasa hivi wapo so Advanced.Operations-500,000/pia Bima wanapokea Na Huduma sawa Na wa private .Tofauti ndogo sana vyumba Baada ya kutoka operation room
Ila jamani Operation tuiongeleeni tu hapa ya uzazi Sio kitu cha mchezo.Kwanza Unainamishwa mgongo unadungwa Limsindano kama la Ng'ombe kwenye mshipa Mkuu.Baada ya hapo kwa Bibi wanaingiza mrija wa kuputisha mkojo.
Usile kitu masaaa kadhaaa kabla Na Baada
Nani anatesemaga eti Operation Ni rahisi?
Haya Iyo Ganzi ikiisha unaanza maumivu
Uwiiiiii
Nashauri operation iwe pale inapotokea Emergency my dear
Kwanza too risk.Ndo mana kama hujasainishwa Na ikasaulika waliohusika kazi hawana.
Mana pale unacheza Na Uhai Na kifo .
God forbid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eh Mungu wangu!! Mbona inatisha sana hio kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu sasa siku hizi akina dada/wa mama hawataki kupush mtoto atokee mlangoni badala yake wanataka arushiwe dirishani.

Kijijini watu nazaa watoto hadi 10 bila kwenda hospital na maisha yanasonga tu kama kawaida
 
Ni kweli wana huduma nzuri, pia maspecialist wa Dar wengi wanapiga part time hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewahi kufanyiwa???

Noma
 
Mungu hakuwa mjinga kuweka kuzaa kwa papuchi operation inauma sana aisee hafu madhara yake ni mpaka uondoke duniani. Ukizaa kawaida ukitoka kule unadunda operation sasa. Cha mkojo kinauma hafu na ile kiu ni hatari.
Nawazaga sana siku ya kuzaa inakuwaje hafu waliozaa kwa operation migongo huwauma hatari wanawake tuna shida. Hafu watu hujidaganya haiumi eeh Mungu niepushie na operation zakuzaa I can't bare the pain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajali sana ma- doctor wa pale...manesi ndiyo usiseme. Ni hosp nzuri kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo mkoa gani, ila ni vyema ukajifungulia hospital za rufaa

a tree is known by its fruit
 
Duuu!!! Sikujua ,aisee pata picha umemtia demu mimba inabidi ajifungue kwa operation laki 7 unabaki unashangaa tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Noma
Bado hujanunu nepi, kitanda cha mtoto, chupa za maziwa na chandarua
 
Yaani wanaoomba Op huwa nawashangaa hawajui tu mateso yake, yale maumivu ganzi ikiisha unaweza tamani upige kelele kwa nguvu yaani hapana aisee hadi mwili unanisisimka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi hujidaganya sana eti haiumi eti rahisi hawajui mziki wake kitu cha asili hakiumi hata kidogo. Imagine kuna mmama anakaribia 60 anaumwa mshono na mgongo. Operation ifanyike kwa Ku save maisha ya mama na mtoto na sio dadaduu kuiomba eti waogopa uchungu
Yaani wanaoomba Op huwa nawashangaa hawajui tu mateso yake, yale maumivu ganzi ikiisha unaweza tamani upige kelele kwa nguvu yaani hapana aisee hadi mwili unanisisimka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah! Kumbe papuchi wanaichezea kiasi chote hicho..?? Aisei siku nikioa hapana gusa papuchi ya mke wangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…