bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
Mgonjwa kama hana referal form analipia gharama...Ova.Hospital za serikali kujifungua ni bure iwe kwa kawaida au operation...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgonjwa kama hana referal form analipia gharama...Ova.Hospital za serikali kujifungua ni bure iwe kwa kawaida au operation...
Sent using Jamii Forums mobile app
Eh Mungu wangu!! Mbona inatisha sana hio kitu?Nenda Kairuki.Sasa hivi wapo so Advanced.Operations-500,000/pia Bima wanapokea Na Huduma sawa Na wa private .Tofauti ndogo sana vyumba Baada ya kutoka operation room
Ila jamani Operation tuiongeleeni tu hapa ya uzazi Sio kitu cha mchezo.Kwanza Unainamishwa mgongo unadungwa Limsindano kama la Ng'ombe kwenye mshipa Mkuu.Baada ya hapo kwa Bibi wanaingiza mrija wa kuputisha mkojo.
Usile kitu masaaa kadhaaa kabla Na Baada
Nani anatesemaga eti Operation Ni rahisi?
Haya Iyo Ganzi ikiisha unaanza maumivu
Uwiiiiii
Nashauri operation iwe pale inapotokea Emergency my dear
Kwanza too risk.Ndo mana kama hujasainishwa Na ikasaulika waliohusika kazi hawana.
Mana pale unacheza Na Uhai Na kifo .
God forbid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu sasa siku hizi akina dada/wa mama hawataki kupush mtoto atokee mlangoni badala yake wanataka arushiwe dirishani.Nenda Kairuki.Sasa hivi wapo so Advanced.Operations-500,000/pia Bima wanapokea Na Huduma sawa Na wa private .Tofauti ndogo sana vyumba Baada ya kutoka operation room
Ila jamani Operation tuiongeleeni tu hapa ya uzazi Sio kitu cha mchezo.Kwanza Unainamishwa mgongo unadungwa Limsindano kama la Ng'ombe kwenye mshipa Mkuu.Baada ya hapo kwa Bibi wanaingiza mrija wa kuputisha mkojo.
Usile kitu masaaa kadhaaa kabla Na Baada
Nani anatesemaga eti Operation Ni rahisi?
Haya Iyo Ganzi ikiisha unaanza maumivu
Uwiiiiii
Nashauri operation iwe pale inapotokea Emergency my dear
Kwanza too risk.Ndo mana kama hujasainishwa Na ikasaulika waliohusika kazi hawana.
Mana pale unacheza Na Uhai Na kifo .
God forbid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli wana huduma nzuri, pia maspecialist wa Dar wengi wanapiga part time hapo.Hiyo hospital mke wangu anaisifia sana sijui ina jambo gani haswa
Yeye Clinic asipoenda Rabinsia haoni kama kaenda Clinic akishindwa basi lazima aende Kairuki.
Hebu nisaidie Rabinsia kuna nini kikubwa mi sijawahi kufika
Sent using Jamii Forums mobile app
hizo gharama ndo anahitaji kujuaUkishaweka neno "NZURI" huitaji kuuliza gharama maana kizuri lazima kiwe cha gharama.
Umewahi kufanyiwa???Nenda Kairuki.Sasa hivi wapo so Advanced.Operations-500,000/pia Bima wanapokea Na Huduma sawa Na wa private .Tofauti ndogo sana vyumba Baada ya kutoka operation room
Ila jamani Operation tuiongeleeni tu hapa ya uzazi Sio kitu cha mchezo.Kwanza Unainamishwa mgongo unadungwa Limsindano kama la Ng'ombe kwenye mshipa Mkuu.Baada ya hapo kwa Bibi wanaingiza mrija wa kuputisha mkojo.
Usile kitu masaaa kadhaaa kabla Na Baada
Nani anatesemaga eti Operation Ni rahisi?
Haya Iyo Ganzi ikiisha unaanza maumivu
Uwiiiiii
Nashauri operation iwe pale inapotokea Emergency my dear
Kwanza too risk.Ndo mana kama hujasainishwa Na ikasaulika waliohusika kazi hawana.
Mana pale unacheza Na Uhai Na kifo .
God forbid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hakuwa mjinga kuweka kuzaa kwa papuchi operation inauma sana aisee hafu madhara yake ni mpaka uondoke duniani. Ukizaa kawaida ukitoka kule unadunda operation sasa. Cha mkojo kinauma hafu na ile kiu ni hatari.Nenda Kairuki.Sasa hivi wapo so Advanced.Operations-500,000/pia Bima wanapokea Na Huduma sawa Na wa private .Tofauti ndogo sana vyumba Baada ya kutoka operation room
Ila jamani Operation tuiongeleeni tu hapa ya uzazi Sio kitu cha mchezo.Kwanza Unainamishwa mgongo unadungwa Limsindano kama la Ng'ombe kwenye mshipa Mkuu.Baada ya hapo kwa Bibi wanaingiza mrija wa kuputisha mkojo.
Usile kitu masaaa kadhaaa kabla Na Baada
Nani anatesemaga eti Operation Ni rahisi?
Haya Iyo Ganzi ikiisha unaanza maumivu
Uwiiiiii
Nashauri operation iwe pale inapotokea Emergency my dear
Kwanza too risk.Ndo mana kama hujasainishwa Na ikasaulika waliohusika kazi hawana.
Mana pale unacheza Na Uhai Na kifo .
God forbid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeichukia hii hosp basi tuMuhimbili if una bima au umeingia kama private wanahuduma nzuri sana.. Hutojutia
Wanajali sana ma- doctor wa pale...manesi ndiyo usiseme. Ni hosp nzuri kwa kweliHiyo hospital mke wangu anaisifia sana sijui ina jambo gani haswa
Yeye Clinic asipoenda Rabinsia haoni kama kaenda Clinic akishindwa basi lazima aende Kairuki.
Hebu nisaidie Rabinsia kuna nini kikubwa mi sijawahi kufika
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo mkoa gani, ila ni vyema ukajifungulia hospital za rufaaNatumaini wote mu wazima mpaka kufika hapa.
Naomba kushauriwa hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje kwa njia ya kawaida au mkasi?
Nilikua muhimbil earlier kwa service zake nimeona nibadilishe gear angani hata kwa hiyo wanayoita fast track bado ni mtihani sana.
Natanguliza shukran za dhati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujanunu nepi, kitanda cha mtoto, chupa za maziwa na chandaruaDuuu!!! Sikujua ,aisee pata picha umemtia demu mimba inabidi ajifungue kwa operation laki 7 unabaki unashangaa tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Noma
Yaani wanaoomba Op huwa nawashangaa hawajui tu mateso yake, yale maumivu ganzi ikiisha unaweza tamani upige kelele kwa nguvu yaani hapana aisee hadi mwili unanisisimka.Mungu hakuwa mjinga kuweka kuzaa kwa papuchi operation inauma sana aisee hafu madhara yake ni mpaka uondoke duniani. Ukizaa kawaida ukitoka kule unadunda operation sasa. Cha mkojo kinauma hafu na ile kiu ni hatari.
Nawazaga sana siku ya kuzaa inakuwaje hafu waliozaa kwa operation migongo huwauma hatari wanawake tuna shida. Hafu watu hujidaganya haiumi eeh Mungu niepushie na operation zakuzaa I can't bare the pain
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wanaoomba Op huwa nawashangaa hawajui tu mateso yake, yale maumivu ganzi ikiisha unaweza tamani upige kelele kwa nguvu yaani hapana aisee hadi mwili unanisisimka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pametulia mazingira yake na care iko juu mnoWanajali sana ma- doctor wa pale...manesi ndiyo usiseme. Ni hosp nzuri kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah! Kumbe papuchi wanaichezea kiasi chote hicho..?? Aisei siku nikioa hapana gusa papuchi ya mke wangu..Mungu hakuwa mjinga kuweka kuzaa kwa papuchi operation inauma sana aisee hafu madhara yake ni mpaka uondoke duniani. Ukizaa kawaida ukitoka kule unadunda operation sasa. Cha mkojo kinauma hafu na ile kiu ni hatari.
Nawazaga sana siku ya kuzaa inakuwaje hafu waliozaa kwa operation migongo huwauma hatari wanawake tuna shida. Hafu watu hujidaganya haiumi eeh Mungu niepushie na operation zakuzaa I can't bare the pain
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa ndio dr hufanyia physical examination yani aibu tupu lakini utafanyaje sasa. Hospital hamna aibu kuleHahahahah! Kumbe papuchi wanaichezea kiasi chote hicho..?? Aisei siku nikioa hapana gusa papuchi ya mke wangu..
Sent using Jamii Forums mobile app