Chancel Mbemba Senior Member Joined Aug 15, 2025 Posts 109 Reaction score 121 Sep 8, 2026 #1 Nauliza kwa wenyeji wa Chanika, kuacha hospital ya Nguvukazi, hospital Gani Bora ambayo mama mjamzito anaweza akajifungua, sehemu ambayo wanatoa huduma hizo za uhakika na clinic ya wajawazito.
Nauliza kwa wenyeji wa Chanika, kuacha hospital ya Nguvukazi, hospital Gani Bora ambayo mama mjamzito anaweza akajifungua, sehemu ambayo wanatoa huduma hizo za uhakika na clinic ya wajawazito.
Chancel Mbemba Senior Member Joined Aug 15, 2025 Posts 109 Reaction score 121 Sep 8, 2026 Thread starter #2 Msaada wakuu
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,915 Reaction score 28,284 Sep 8, 2026 #3 Kitonka goms pazuri Kisarawe huduma zao pia nzuri
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,915 Reaction score 28,284 Sep 8, 2026 #4 Kuna Moja iko maeneo ya kwa Zoo hapo unaingia mkono wa kulia kama unaenda kule kwa masister nayo nzuri
Kuna Moja iko maeneo ya kwa Zoo hapo unaingia mkono wa kulia kama unaenda kule kwa masister nayo nzuri