Mleta mada ulitaka muajiri hapo afanye nini ikiwa mzigo wa kuendesha taasisi umemshinda?View attachment 3067994
KUNA taarifa za kufungwa Kwa baazi ya vituo vya kutolea huduma ya afya vilivyopo chini ya Taasisi ya Aga Khan,Tanzania kwasababu za changamoto za kiuendeshashaji.
Fununu hizo zinaeleza kuwa Taarifa zimetokana na mkutano uliofanyika na mtendendaji mkuu wa Taasisi hiyo nchini,Kupitia mtandaoni na kuhudhuliwa na baazi ya wafanyakazi.
Mtendendaji huyo amesema kwamba kutokana na changamoto za kiuendeshaji, Taasisi inalazimika kufunga baazi ya vituo na kupunguza wafanyakazi.
Hata hivyo,Kwa mujibu ya mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi hiyo akizunguumza Kwa faragha na Mdau TZ,amekili kuwa Taarifa hizo ni za kweli na zoezi la kufunga vituo hivyo limeshaanza na mwisho wa uendeshaji wake inatarajiwa ni mwishoni mwa wiki hii ambapo itakuwa Tarehe 15/8/2024.
Mtoa Taarifa huyo amesema kwamba tayari baazi ya wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi katika vituo vinavyofungwa na wale wanaopunguzwa kutoka kwenye vituo vinavyosalia wameshapewa barua za mualiko wa majadiliano ya kuachishwa kazi.
MY TAKE.
KATIKA Hili waajili wengi wanatumia udhaifu wa Sheria ya Kazi inayotumiKa nchini katika kuwachisha kazi wafanyakazi wao pindi tu Taasisi inapopitia changamoto kidogo.
Sheria imempa wigo Mpana mwajili wa kufanya maamuzi bila ya kujali hali ya mwajiliwa.
Pia kutokana na urahisi waliopewa katika kipengele Cha kupunguza wafanyakazi hasa Kwa sababu za kiuendeshaji.
Ni wakati wa mamlala hisika kufikiria kufanya mabadiliko ya sheria hii ili kuwapa ulinzi na uhakika wa ajira kwa wafanyakazi.
Omba sana Mungu usiugue ndg!Kwa jinsi serikali inavyozidi kuboresha huduma za afya katika hospital za umma tutegemee anguko zaidi katika taasisi nyingine binafsi,, tulipigwa mno na hawa wahindi,,
Cha msingi umepata taarifa acha mambo ya ajabu watu waliopata F ya hesabu mna shida sanaKuhudhuliwa na baazi✖️
Kuhudhuriwa na baadhi✔️
Amekili✖️
Amekiri✔️
Waajili✖️
Waajiri✔️
Mwajili✖️
Muajiri✔️
Mwajiliwa✖
Muajiriwa✔️
Waliofeli hesabu wanabaki wanaojifanya wanalugha fasaha😂Nakazia
Baadhi *
KwaniniOmba sana Mungu usiugue ndg!
Wana retrench wazawa tu. Ma expatriates wanaokula mishahara mikubwa hawaja guswa. Ni ubaguzi full-time.Mleta mada ulitaka muajiri hapo afanye nini ikiwa mzigo wa kuendesha taasisi umemshinda?
Kama mwajiri ataamua kuwashisha kazi kwa kufuata sheria basi hana kosa lolote, huwezi kumlaumu chochote na wafanyakazi hawapaswi kulalamika kwa chochote maana walijua huo utaratibu hata kabla ya kuajiriwa.
Nasikia hii taasisi imefilisika, wafanyakazi wanaidai mishahara ya miezi 6 iliyopita
Ma expatriates wanaokula mishahara mikubwa hawaja guswa na zoezi hilo. Ni wazawa tu ndiyo wanaachishwa kazi.Mleta mada ulitaka muajiri hapo afanye nini ikiwa mzigo wa kuendesha taasisi umemshinda?
Kama mwajiri ataamua kuwashisha kazi kwa kufuata sheria basi hana kosa lolote, huwezi kumlaumu chochote na wafanyakazi hawapaswi kulalamika kwa chochote maana walijua huo utaratibu hata kabla ya kuajiriwa.
Jamii Forum ni chuo Bora cha Jamii. Lovebird umetoa bonge la comment.Jambo naloamini maishani lazima Me/Ke uwe na plan B all the time, popote ulipo na chochote ufanyacho
Mzanzibari nchi imemshinda aondoke tuKuna ya taarifa za kufungwa kwa baadhi ya vituo vya kutolea huduma ya afya vilivyopo chini ya Taasisi ya Aga Khan, Tanzania kwa sababu za changamoto za kiuendeshashaji.
Fununu hizo zinaeleza kuwa Taarifa zimetokana na mkutano uliofanyika na mtendendaji mkuu wa Taasisi hiyo nchini, kupitia mtandaoni na kuhudhuliwa na baadhi ya wafanyakazi.
Mtendendaji huyo amesema kwamba kutokana na changamoto za kiuendeshaji, Taasisi inalazimika kufunga baadhi ya vituo na kupunguza Wafanyakazi.
Hata hivyo, kwa mujibu ya mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi hiyo akizunguumza kwa faragha na Mdau Tanzania, amekili kuwa Taarifa hizo ni za kweli na zoezi la kufunga vituo hivyo limeshaanza na mwisho wa uendeshaji wake inatarajiwa ni mwishoni mwa wiki hii ambapo itakuwa Tarehe 15/8/2024.
Mtoa Taarifa huyo amesema kwamba tayari baadhi ya wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi katika vituo vinavyofungwa na wale wanaopunguzwa kutoka kwenye vituo vinavyosalia wameshapewa barua za mualiko wa majadiliano ya kuachishwa kazi.
MY TAKE
Katika hili waajiri wengi wanatumia udhaifu wa Sheria ya Kazi inayotumiKa nchini katika kuwachisha kazi wafanyakazi wao pindi tu Taasisi inapopitia changamoto kidogo.
Sheria imempa wigo Mpana mwajili wa kufanya maamuzi bila ya kujali hali ya mwajiliwa.
Pia kutokana na urahisi waliopewa katika kipengele cha kupunguza wafanyakazi hasa kwa sababu za kiuendeshaji.
Ni wakati wa mamlala hisika kufikiria kufanya mabadiliko ya sheria hii ili kuwapa ulinzi na uhakika wa ajira kwa wafanyakazi.
View attachment 3068018
udhaifu wa Sheria ya Kazi inayotumiKa nchini katika kuwachisha kazi wafanyakazi
We ni kilaza jibu "ndiyo"Cha msingi umepata taarifa acha mambo ya ajabu watu waliopata F ya hesabu mna shida sana
retrench wazawa tu. Ma expatriates
Unachekesha sana, maboresho yapi ya hospitali za umma mkuu?Kwa jinsi serikali inavyozidi kuboresha huduma za afya katika hospital za umma tutegemee anguko zaidi katika taasisi nyingine binafsi,, tulipigwa mno na hawa wahindi,,