johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe huiamini hospitali?Hata mkipamba lugha johnthebaptist . Corona ipo na inakula vichwa mdogo mdogo.
Kwani uongozi wetu una tatizo gani na Corona ?!. Mpaka tujifanye kama vile ugonjwa haupo huku upo !!
Kuwa na Covid 19 si aibu
Matatizo ya upumuaji, hiyo kitu iko kweliHivi wanaosema imejaa huwa wanaonesha picha au wana bwabwaja tu?
Wey nenda kliniki utajua!Je wana charge pesa nyingi au hapana hao jamaa wame chukuwa 38m na mtu kafa
Nitajuwa nini sasaWey nenda kliniki utajua!
Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!Sawa reporter wa jf tumekusikia
Ova
Bei!Nitajuwa nini sasa
Bei acha kabisa hao ni balaaa kwanza kama huja deposit 6m hakupokei siongei siasaBei!
Za kuambiwa changanya na zakoKwanini ayaseme hayo baada ya kutembelewa na Katibu mkuu wa wizara ya afya? Angeweza kusema tofauti na hivyo?
Tanzania si hakuna Corona, sasa nini mantiki ya kusema wodi zao bado hazijajaa wagonjwa wa Corona?
Sasa hospitali inaita watu waende hospitali kutibiwa!!!
Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!Za kuambiwa changanya na zako
Wee MamaHospitali ya Aga Khan imesema siyo kweli kwamba wodi zake zimejaa wagonjwa wa Corona bali wapo wagonjwa wenye matatizo mbalimbali.
Mtendaji mkuu wa hospitali hiyo amemwambia Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Mchembe kwamba akina mama wajawazito wameacha kwenda Kliniki kufuatia uvumi huo na akatumia nafasi hiyo kuwataka watu wote wenye ratiba za kliniki waendelee kuja kwani hospitali iko salama.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Sawa tumekupata wee Mama..Hospitali ya Aga Khan imesema siyo kweli kwamba wodi zake zimejaa wagonjwa wa Corona bali wapo wagonjwa wenye matatizo mbalimbali.
Mtendaji mkuu wa hospitali hiyo amemwambia Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Mchembe kwamba akina mama wajawazito wameacha kwenda Kliniki kufuatia uvumi huo na akatumia nafasi hiyo kuwataka watu wote wenye ratiba za kliniki waendelee kuja kwani hospitali iko salama.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!Wee Mama
Sawa tumekupata wee Mama..
Naona unataka kutujulisha tu kwamba kliniki ya huo ujauzito wako unaenda Agha Khan.
Maana yake ni kwamba wagonjwa wa covid19 wapo pale japo wodi hazijajaa. Anauekataa kwamba corona haipo anajidanganya na anajua anachokifanyaTanzania si hakuna Corona, sasa nini mantiki ya kusema wodi zao bado hazijajaa wagonjwa wa Corona?
Sasa hospitali inaita watu waende hospitali kutibiwa!!!