johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Bwashee hakuna anayekataa maana hata maalim Seif kaizungumzia!Maana yake ni kwamba wagonjwa wa covid19 wapo pale japo wodi hazijajaa. Anauekataa kwamba corona haipo anajidanganya na anajua anachokifanya
Inapotokea gonjwa lolote la mlipuko popote duniani, kuna kitu kinaitwa Emergency Operation Center (EOC) huwa kinakuwa activated chini ya Wizara ya Afya. Then updates zinakuwa zinatolewa kwa uchache mara moja kwa siku.Bwashee hakuna anayekataa maana hata maalim Seif kaizungumzia!
Kwani mimi ndio nasema hospital zimejaa?Wanasubiri kuona kutoka kwako.
Mbona wakati wa uchaguzi hadi maiti mlikuwa mnaziweka hapa?Kwa hiyo wakapige wagonjwa picha wodini waziweke hapa ?