Hospitali ya Agakhan yasema haijazidiwa na wagonjwa wa Corona, yataka wajawazito kuhudhuria Kliniki

Hospitali ya Agakhan yasema haijazidiwa na wagonjwa wa Corona, yataka wajawazito kuhudhuria Kliniki

Maana yake ni kwamba wagonjwa wa covid19 wapo pale japo wodi hazijajaa. Anauekataa kwamba corona haipo anajidanganya na anajua anachokifanya
Bwashee hakuna anayekataa maana hata maalim Seif kaizungumzia!
 
Bwashee hakuna anayekataa maana hata maalim Seif kaizungumzia!
Inapotokea gonjwa lolote la mlipuko popote duniani, kuna kitu kinaitwa Emergency Operation Center (EOC) huwa kinakuwa activated chini ya Wizara ya Afya. Then updates zinakuwa zinatolewa kwa uchache mara moja kwa siku.

Ukiona hakuna EOC wakati watu wanaumwa ujue bado kuna denial.
 
Naweza kuamini kwamba haijajaa sababu wao hawatibu mgonjwa yeyote wa corona mpaka atangulize milioni 6, kwahiyo wagonjwa wengi wa tatizo la kupumua hukimbilia muhimbili baada ya kushindwa kufikia vigezo na masharti
 
Si kipimo wala takwimu sahihi hata wagonjwa malaria ,tumbo wangapi wanamudu huko?Mungu Baba atunusuru.Wengi wa wazee na wenye kinga dhaifu watajiuguza majumbani kwani hata Bima zetu za daraja la 3C ni fedheha tupu.
Kiongozi ama wasaidizi wako wakujuze,bado matibabu hata maradhi ya kawaida garama zipo juu sana hata hospitali za umma. Ukwasi umeadimika, Jamii upendo umepungua sanasana watakimbilia msiba, ile ahadi mliyokopi kwa Lissu Bima kwa wote ifanyiwe kazi.
 
Wahuni waliopo kule twitter kusiko na maadili ndiko kwenye mambo ya hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom