Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Vita ya kiuchumi kati ya TANZANIA na MAREKANI?Huu ugonjwa ni vita ya kiuchumi Magu alikuwa amewashtukia. Lazima tujiulize kwa nini watu wamedunda tangu May 2020 hadi leo bila barakoa wala chanjo lakini sasa hivi tumeanza kutishana na kutiana hofu kuwa korona ipo tuvae barakoa tena kwa lazima?
Inauma sana!Baba yake rafiki yangu kafariki Musoma na Mama yake yupo kwenye oxygen. Rafiki yangu naye kafariki mwaka jana mwezi wa nne na kaka yake katoka hospitali lakini alikaa zaidi ya siku 40 Houston, TX kwenye ICU . Kaka yake bado anatumia oxygen baada ya kupata matatizo kwenye mapafu. Yote hii ni Corona. Mama wanasema atapona anaweza kutoka wiki hii lakini atakuta mzee wamesha zika wiki iliyopita
Mama yuko under test. Lakini uhalisia wa corona utaujua mtaani. Ni ngumu sana kumshawushi MTU kuvaa hiyo mambo. Acha wanasiasa wateseke, ila mtaani raia tunadunda tu.Huu ugonjwa ni vita ya kiuchumi Magu alikuwa amewashtukia. Lazima tujiulize kwa nini watu wamedunda tangu May 2020 hadi leo bila barakoa wala chanjo lakini sasa hivi tumeanza kutishana na kutiana hofu kuwa korona ipo tuvae barakoa tena kwa lazima?
Mataga ndo nini?.. sijui ni lini mataga mtakuwaga na akili! Mimi na wewe nani pumbavu?
34 Aligarh Muslim University Professors Succumb To Covid-19 In Last 18 Days
Grieving universities in shock over loss of professors
At AMU, 16 of the 18 professors who died of Covid had not taken even first dose of vaccine
India Coronavirus Dispatch: 18 AMU professors die of Covid in 20 days
Five of DU faculty die of Covid-19 in six days
Uttar Pradesh: 44 people including 26 AMU professors die of Covid-19
Mpuuzi!
Kama iliyokuwepo ilikuwa inatosheleza mahitaji.... Then ongezeko lolote zaidi ya mahitaji lazima litasababisha uhaba.Unakuta hospital yenyewe ina mitungi mitatu halafu unakuja na uzi kuwa imekumbwa na uungufu. Tuambie kwanza ina jumla ya mitungi mingapi iliyo active na mingapi inatumiwa na wagonjwa hadi muda hu
Zamani zile nilikuwa najua kwamba serikali ni CHOMBO chenye uadilifu kinachojali na kuthamini wananchi wake kwa gharama zozote.Maigizo ,maigizo kweli kweli.wenzetu wamekuwa madalali...sijui tukiisha wote hzo hela walizoongwa watazitumiaje?
hospitali marehemu mama yangu alilazwa walikuwa wanatumia VENTILATOR za umeme!sio cylinder!Unakuta hospital yenyewe ina mitungi mitatu halafu unakuja na uzi kuwa imekumbwa na uungufu. Tuambie kwanza ina jumla ya mitungi mingapi iliyo active na mingapi inatumiwa na wagonjwa hadi muda huu.
Kwan ORYX na Taifa gas hawaoni ili
Ona laghai lingine hili hapa!Baba yake rafiki yangu kafariki Musoma na Mama yake yupo kwenye oxygen. Rafiki yangu naye kafariki mwaka jana mwezi wa nne na kaka yake katoka hospitali lakini alikaa zaidi ya siku 40 Houston, TX kwenye ICU . Kaka yake bado anatumia oxygen baada ya kupata matatizo kwenye mapafu. Yote hii ni Corona. Mama wanasema atapona anaweza kutoka wiki hii lakini atakuta mzee wamesha zika wiki iliyopita
Huenda una mafangasi ya kinywa tu wewe!Tangu juzi nashindia malimao, hakuna chakula kinachopita kooni koo linauma na mwili wote hadi naogopa.
Alikuwa yuko sahihi.Enz za HAYATI hata kutangaza kuwa
Kuna upingufu wa
Mitungi ya oksijeni lilikuwa kosa la uhujimu uchumi