#COVID19 Hospitali ya Bugando yakumbwa na upungufu wa mitungi ya Oksijeni kwa Wagonjwa wa Kupumua

Daaahh, tatizo yule Kinjikitile mkuu alikuwa na elimu kubwa ambayo haijamkomboa kifikra.
Alionesha imani kubwa sana kwa muumba wake, akampenda akamchukua akawe kiongozi wa malaika kama alivyojitabiria.
 
Corona haijaanza leo ndugu yangu, kama ingekuwa tishio, tungeona mass graves mtaani
 
Unakuta hospital yenyewe ina mitungi mitatu halafu unakuja na uzi kuwa imekumbwa na uungufu. Tuambie kwanza ina jumla ya mitungi mingapi iliyo active na mingapi inatumiwa na wagonjwa hadi muda huu.
Swala ni kuongeza mitungi,wanazidiwa na wagonjwa nlikua wodi ya private nauguza,kwa siku ilikua inapangwa mitungi zaidi ya hamsini ikifika mchana imeisha...mgonjwa wa covid kumaliza mitungi 5 akiwa serious ni jambo la kawaida
 
Hata mimi mjomba wa rafiki yake na rafiki yangu,mama yake ambaye ni shangazi wa bibi yake,juzi kakutwa kwa mjukuu wake akiwa hoi hajitambui.

Wanasema hiyo ni corona.
 
Huu ugonjwa ni vita ya kiuchumi Magu alikuwa amewashtukia. Lazima tujiulize kwa nini watu wamedunda tangu May 2020 hadi leo bila barakoa wala chanjo lakini sasa hivi tumeanza kutishana na kutiana hofu kuwa korona ipo tuvae barakoa tena kwa lazima?
Nani huyo aliekulazimisha kuvaa? 😳
 
hakuna corona kuna delta tanzania mwisho tulikuwa na wagonjwa mia tano na sasa wako mia hapo chanjo ya nini.
 
Inashangaza sana waziri husika yuko kimya sana na hili tulitegemea angetoa taarifa ya idadi ya wagonjwa Mwanza waliolazwa ni wangapi na wangapi wanahitaji msaada wa oksijeni na Hospital za Mwanza zina mitungi kiasi gani na GVT ina mkakati gani wa kuongeza uzalishaji wa oksijeni kukabili uhaba huu kwani oksijen ni muhimu sana watu watakuwa wanaangamia tunaficha ficha tu this can happen only
in Tanzania
 
Dikteta hafai kuwekewa hata sanamu, Ni wakulaaniwa na kila mwenye akili timamu
 
Kwamba toka mwaka jana ambapo ndio corona ilitangazwa kuingia Tanzania na hatuwa tukichukua tahadhari ila hatukuwahi kusikia upungufu wa mitungi ya oksijeni, kwanini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…