KERO Hospitali ya Kimara mpo serious kweli? Zaidi ya saa nne hakuna huduma

KERO Hospitali ya Kimara mpo serious kweli? Zaidi ya saa nne hakuna huduma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

NBica

Member
Joined
Sep 13, 2010
Posts
39
Reaction score
36
Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao

Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu Hawana huruma watu wanauliza na kuambiwa kwani kuna aliyezidiwa hapa? Ukiuliza sana unaambiwa Nenda hospitali ya wilaya.

Jaman zaidi ya saa nne hapo hakuna huduma hii si Sawa
 
Wapo tiktok.

Unawabughudhi umewapa bando?
 
Back
Top Bottom