DOKEZO Hospitali ya Mloganzila inatumia wanafunzi (interns) kuhudumia wagonjwa mahututi, na manesi wana huduma mbaya, mnatumaliza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Habari,

Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭.

Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye mahututi, hawana uzoefu, wanabahatisha, kauli zao zinapingana, hawajui walifanyalo.

Mashine zao ni mbovu, manesi na wauguzi wanachukua muda sana kumtembelea mgonjwa, hawajali kabisa, wana majibu mepesi sana kwenye maswali magumu.

Amana ina huduma mbovu sana, Mloganzila ina huduma mbovu sana sana, samahani kwa unandishi mbovu, nimempoteza mama yangu mzazi kwa huduma mbovu za hospitali zote hizo.

Kama unampenda ndugu yako, sikushauri kumpeleka huko.

Mloganzila kutwa kucha kijisifu tunaondoa mara uvimbe kwenye ubongo, na blah blah kibao, hakuna kitu pale!

Surgery ndogo wameshindwa kunmfanyia mama yangu na kunipa jibu fupi kwamba haiwezekani, kesho yake daktari mwengine wa zamu (mwanafunzi intern), ananambia nisubiri Jumatatu anakuja neurosurgeon, sasa huyo surgeon wa nini ilihali dokta (intern) wa zamu wa mwanzo kaniambia surgery haiwezekani?

Interns mmoja anachezea simu, mama yuko chumba cha X-Ray, yeye yupo nje ya chumba busy na simu, mwenziwe anamuita, njoo huku, mpaka kamfuata na kumvuta kwa nguvu arudi kwa X-Ray Room, yeye bado yuko busy na simu!

Serikali inafumbia macho haya malalamiko kwa miaka sasa mingi, wagonjwa wakiendelea kufa kwa uzembe mdogo mdogo.

Hospitali ya Amana, kidude cha IV ilitoka kwenye mkono, damu ilitoka nyingi sana, kitanda kilitapakaa damu mpaka mgongoni, hakuna dokta aliyeona na kujali ila mimi nikiwa mbali niliona na kuwaambia 😭😭😭😭😭 , nilibaki kulia sana, umasikini mbaya sana

Usimpeleke mgonjwa wako huko.
Narudi tena, Usimpeleke mgonjwa wako huko.

Ahsante.
 
Mloganzila mbona Mimi nilihudumiwa kama mfalme mkuu?? Hosptal yangu pendwa Ile na.mwanafunzi akikuhudumia lazima awe na daktari bingwa hapo pembeni .sijawai kuona mwanafunzi akiwa mwenyewe pale.pole kwa yaliyokukuta.
 
Nashangaa haya malalamiko wakati nililazwa siku kadhaa pale nilifanyiwa surgery . Nilihudumiwa vizuri sana. Pana madaktari wacheshi na wenye weledi . Kuna mambo mengine yapo nje ya uwezo wetu inabidi kukubali . Sometimes hisia tulizonazo zinafanya tumwone kila mtu mzembe.
MLOGANZILA IPO VIZURI SANA NILIHUDUMIWA NA MADAKTARI WATANO WAPO MAKINI . KUNA WAKATI KUWA NAISHIWA NGUVU KABLA YA KUZIMA NILIONA WALIVYOPANIC KILA MMOJA AKIHANGAIKA KUHAKIKISHA NAKUWA POA.
MUNGU AWABARIKI SANA.
TUACHE KUCHAFUA TAASISI NZIMA KWA MAKOSA YA WATU WAWILI
 
Sijui ilikuaje maskini so far Ile no best hosp in Tanzania
 
Mloganzila mbona Mimi nilihudumiwa kama mfalme mkuu??
Hosptal yangu pendwa Ile na.mwanafunzi akikuhudumia lazima awe na daktari bingwa hapo pembeni .sijawai kuona mwanafunzi akiwa mwenyewe pale.pole kwa yaliyokukuta.
Huenda hadhi yako ikawa tofauti na mleta uzi kwa hiyo treatment ikawa tofauti pia
 
Habari,

Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭.

Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye mahututi, hawana uzoefu, wanabahatisha, kauli zao zinapingana, hawajui walifanyalo.

Mashine zao ni mbovu, manesi na wauguzi wanachukua muda sana kumtembelea mgonjwa, hawajali kabisa, wana majibu mepesi sana kwenye maswali magumu.

Amana ina huduma mbovu sana, Mloganzila ina huduma mbovu sana sana, samahani kwa unandishi mbovu, nimempoteza mama yangu mzazi kwa huduma mbovu za hospitali zote hizo.

Kama unampenda ndugu yako, sikushauri kumpeleka huko.

Mloganzila kutwa kucha kijisifu tunaondoa mara uvimbe kwenye ubongo, na blah blah kibao, hakuna kitu pale!

Surgery ndogo wameshindwa kunmfanyia mama yangu na kunipa jibu fupi kwamba haiwezekani, kesho yake daktari mwengine wa zamu (mwanafunzi intern), ananambia nisubiri Jumatatu anakuja neurosurgeon, sasa huyo surgeon wa nini ilihali dokta (intern) wa zamu wa mwanzo kaniambia surgery haiwezekani?

Interns mmoja anachezea simu, mama yuko chumba cha X-Ray, yeye yupo nje ya chumba busy na simu, mwenziwe anamuita, njoo huku, mpaka kamfuata na kumvuta kwa nguvu arudi kwa X-Ray Room, yeye bado yuko busy na simu!

Serikali inafumbia macho haya malalamiko kwa miaka sasa mingi, wagonjwa wakiendelea kufa kwa uzembe mdogo mdogo.

Hospitali ya Amana, kidude cha IV ilitoka kwenye mkono, damu ilitoka nyingi sana, kitanda kilitapakaa damu mpaka mgongoni, hakuna dokta aliyeona na kujali ila mimi nikiwa mbali niliona na kuwaambia 😭😭😭😭😭 , nilibaki kulia sana, umasikini mbaya sana

Usimpeleke mgonjwa wako huko.
Narudi tena, Usimpeleke mgonjwa wako huko.

Ahsante.
baadhi ya Mahospitali mengi kwa sasa wagonjwa wanahudumiwa na interns bila usimamizi au uangalizi ni hatari kwa wagonjwa. lets follow medical proffessional ethics
 
Mloganzila ni TEACHING HOSPITAL,au hukusoma pale juu kwenye bango mkuu??
Ila wapo na madaktari wenye uzoefu kuwa assist hao interns mkuu.
 
Kuna jamaa fulani alienda muhimbili akaambiwa main sijui smyamefanyaje na figo yule jamaa ni mlevi pombe kali kupindukia, alikuwa mahututi bana akaambiwa anapeea transfer to mloganzila unafikiri alikubali na kupona alipona pale pale saiv yupo kitaa anadunda asee watu tulishangaa sana
 
Habari,

Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭.

Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye mahututi, hawana uzoefu, wanabahatisha, kauli zao zinapingana, hawajui walifanyalo.

Mashine zao ni mbovu, manesi na wauguzi wanachukua muda sana kumtembelea mgonjwa, hawajali kabisa, wana majibu mepesi sana kwenye maswali magumu.

Amana ina huduma mbovu sana, Mloganzila ina huduma mbovu sana sana, samahani kwa unandishi mbovu, nimempoteza mama yangu mzazi kwa huduma mbovu za hospitali zote hizo.

Kama unampenda ndugu yako, sikushauri kumpeleka huko.

Mloganzila kutwa kucha kijisifu tunaondoa mara uvimbe kwenye ubongo, na blah blah kibao, hakuna kitu pale!

Surgery ndogo wameshindwa kunmfanyia mama yangu na kunipa jibu fupi kwamba haiwezekani, kesho yake daktari mwengine wa zamu (mwanafunzi intern), ananambia nisubiri Jumatatu anakuja neurosurgeon, sasa huyo surgeon wa nini ilihali dokta (intern) wa zamu wa mwanzo kaniambia surgery haiwezekani?

Interns mmoja anachezea simu, mama yuko chumba cha X-Ray, yeye yupo nje ya chumba busy na simu, mwenziwe anamuita, njoo huku, mpaka kamfuata na kumvuta kwa nguvu arudi kwa X-Ray Room, yeye bado yuko busy na simu!

Serikali inafumbia macho haya malalamiko kwa miaka sasa mingi, wagonjwa wakiendelea kufa kwa uzembe mdogo mdogo.

Hospitali ya Amana, kidude cha IV ilitoka kwenye mkono, damu ilitoka nyingi sana, kitanda kilitapakaa damu mpaka mgongoni, hakuna dokta aliyeona na kujali ila mimi nikiwa mbali niliona na kuwaambia 😭😭😭😭😭 , nilibaki kulia sana, umasikini mbaya sana

Usimpeleke mgonjwa wako huko.
Narudi tena, Usimpeleke mgonjwa wako huko.

Ahsante.
Aisee.

Pole sana.
 
Mloganzila mbona Mimi nilihudumiwa kama mfalme mkuu??
Hosptal yangu pendwa Ile na.mwanafunzi akikuhudumia lazima awe na daktari bingwa hapo pembeni .sijawai kuona mwanafunzi akiwa mwenyewe pale.pole kwa yaliyokukuta.
Kuna mdogo wangu alilazwa pale aliandikiwa kwenda kufanyiwa kipimo cha MRI mpaka anafariki hakufanyiwa hicho kipimo kisa hakuna wa kumpeleka kwenye hiyo machine,labda useme wewe una mtu wa kukushika mkono
 
Habari,

Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭.

Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye mahututi, hawana uzoefu, wanabahatisha, kauli zao zinapingana, hawajui walifanyalo.

Mashine zao ni mbovu, manesi na wauguzi wanachukua muda sana kumtembelea mgonjwa, hawajali kabisa, wana majibu mepesi sana kwenye maswali magumu.

Amana ina huduma mbovu sana, Mloganzila ina huduma mbovu sana sana, samahani kwa unandishi mbovu, nimempoteza mama yangu mzazi kwa huduma mbovu za hospitali zote hizo.

Kama unampenda ndugu yako, sikushauri kumpeleka huko.

Mloganzila kutwa kucha kijisifu tunaondoa mara uvimbe kwenye ubongo, na blah blah kibao, hakuna kitu pale!

Surgery ndogo wameshindwa kunmfanyia mama yangu na kunipa jibu fupi kwamba haiwezekani, kesho yake daktari mwengine wa zamu (mwanafunzi intern), ananambia nisubiri Jumatatu anakuja neurosurgeon, sasa huyo surgeon wa nini ilihali dokta (intern) wa zamu wa mwanzo kaniambia surgery haiwezekani?

Interns mmoja anachezea simu, mama yuko chumba cha X-Ray, yeye yupo nje ya chumba busy na simu, mwenziwe anamuita, njoo huku, mpaka kamfuata na kumvuta kwa nguvu arudi kwa X-Ray Room, yeye bado yuko busy na simu!

Serikali inafumbia macho haya malalamiko kwa miaka sasa mingi, wagonjwa wakiendelea kufa kwa uzembe mdogo mdogo.

Hospitali ya Amana, kidude cha IV ilitoka kwenye mkono, damu ilitoka nyingi sana, kitanda kilitapakaa damu mpaka mgongoni, hakuna dokta aliyeona na kujali ila mimi nikiwa mbali niliona na kuwaambia 😭😭😭😭😭 , nilibaki kulia sana, umasikini mbaya sana

Usimpeleke mgonjwa wako huko.
Narudi tena, Usimpeleke mgonjwa wako huko.

Ahsante.
Nime comment nimefuta pole Sana ndugu
 
Back
Top Bottom