Pole sana, lakini kumbuka kifo kipo tu. Hospitali gani wagonjwa hawafi?
Kuna vitu tunalaumiana lakini nasi tunachangia, unakuta mtu anaumwa hatua za awali haendi hospitali, akiishafikia hatua mbaya ndio sasa utaona dugu wanajichangisha kumtafutia mpendwa wao huduma, halafu wanataka apone haraka.
Kuna wagonjwa wanaletwa hospitali, unamuangalia halafu unawaangalia waliomleta unashindwa hata kuongea.
Wakati mwingine unakuta mlichelewa sana, au hali ya mgonjwa imesha pitiliza hatua ya kutibika.
Tunapotupiana lawama tujiangalie nasi pia.
Sitaki kukuongezea machungu ila nimechangia kama wengine, samahani ikiwa nitakuwa nimekosea pia.